Naungana na raisi katika juhudi zake za kupigania Tanzania yetu.
Leo kwenye ripoti ya pili ya kujua ukweli juu ya makinikia moja ya mapendekezo yake ni kuweka hadharani mikataba yote ya madini ili ijadiliwe na bunge.
Naomba raisi wetu JPM ili yasijirudie Yale Yale ya watangulizi wako uweke WAZI mikataba ya mambo makubwa yanayofanywa ndani ya awamu hii
mfano;Ununuzi wa ndege zote,
Ujenzi wa reli ya mwendo kasi ( dar-moro) na mwingine mingi chini ya awamu hii ya tano!
Nadhani kama taifa tutakuwa tumefika mahala pazuri pa uwazi na ukweli!
Vile vile itawasaidia hata awamu zijazo baada yako kupiga mfano huu mzuri utakua uanza!
Kuliko kusikitika kama tumeibiwa sana ilhali tu naendelea kufanya Yale Yale yaliyotufanya tunaibiwa!
Kwa ushauri wako huu ndio utaona rangi halisi za JPM!Suluhisho la yote haya ni Katiba pendekezwa tu kwani japo anajitahidi kuiweka Tanzania sawa ila yale Mapendekezo yaliyomo katika Katiba pendekezwa na Jaji Mstaafu Warioba kama yakitumika yatakuwa msaada mkubwa mno Kwake Yeye kama Rais wetu na sisi Watanzania kiujumla.
Ni kweli! Ila mbaya zaidi haamini kama katiba ile ya warioba ingekuwa msaada mkubwa Ndio maana akasema aachwe anyooshe nchi!Suluhisho la yote haya ni Katiba pendekezwa tu kwani japo anajitahidi kuiweka Tanzania sawa ila yale Mapendekezo yaliyomo katika Katiba pendekezwa na Jaji Mstaafu Warioba kama yakitumika yatakuwa msaada mkubwa mno Kwake Yeye kama Rais wetu na sisi Watanzania kiujumla.
Ni kweli! Ila mbaya zaidi haamini kama katiba ile ya warioba ingekuwa msaada mkubwa Ndio maana akasema aachwe anyooshe nchi!
Ndio maana mimi nia yake njema ambayo huwa anasema huwa hainiingii akilini! Kama kila kitu kinafanyika kwa nia njema anaficha mikataba ya nini?Tatizo Mkuu nchi haiwezi kunyooshwa kwa sera za kidikteta na MUFILISI. Ni kujidanganya tu.
Ndio maana mimi nia yake njema ambayo huwa anasema huwa hainiingii akilini! Kama kila kitu kinafanyika kwa nia njema anaficha mikataba ya nini?
Ni kweli hakuna jipya ni usanii tuu kama wangesikilizwa wapinzan tangu mwanzo walau pakuanzia kungeonekanaHakuna nia njema Mkuu ni usanii tu mbele kwa mbele. Kwanini yuko kimya kuhusu mikataba yote ya nchi kupelekwa bungeni!? Anaogopa na kuficha yepi kwenye mikataba hiyo? Iweje mwenye nia nzuri na nchi yetu aendelee kuikumbatia mikataba yote kwa nguvu za ajabu!?
Mkuu siamini wanasiasa kwa sababu hata magufuri anafanya mikataba ya vificho Ununuzi wa ndege siri, Mikataba na dangote siri mambo mengi hii ni danganya Toto ya wanasiasa hakuna mpyaVita ya wizi haijawahi kuwaacha watu salama.
Magu anaumiza watu wengi sana.
Si kila mtu ni mwanasiasa.Mkuu siamini wanasiasa kwa sababu hata magufuri anafanya mikataba ya vificho Ununuzi wa ndege siri, Mikataba na dangote siri mambo mengi hii ni danganya Toto ya wanasiasa hakuna mpya
Rais wa nchi asiongelewe unataka tukuongelee wewe?kwa lipi,kwa kuropoka ropoka kama Unakunywa viroba vya magendo.Mnapenda tu kumuongelea.... eeeeeh
Hongera kwake
Magufuli 2020
Acha umbea we mwanamke! Hapa tunazungumzia masuala ya kitaifa sio tunamzungumzia huyo unayesema tunapenda!Mnapenda tu kumuongelea.... eeeeeh
Hongera kwake
Magufuli 2020
ndege zenyewe zomesha haaribika ,Naungana na raisi katika juhudi zake za kupigania Tanzania yetu.