LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Dec 1, 2011 #1 Habari zinazosemekana ni kwamba X Presida wa Marekani bwana GW amewasili Dar es Salaam Inernational Airport leo Alhasiri. Kesho Hasubui na mapema atakaa na kamati yake kudiscuss kuhusu mradi wake wa URANIUM!
Habari zinazosemekana ni kwamba X Presida wa Marekani bwana GW amewasili Dar es Salaam Inernational Airport leo Alhasiri. Kesho Hasubui na mapema atakaa na kamati yake kudiscuss kuhusu mradi wake wa URANIUM!
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,432 Dec 1, 2011 #2 Tanzania kazi tunayo na hawa jamaa wasiokuwa na urafiki na yeyote yule. Nalog off