Tanzania ya leo si haba kwani kwa mitizamo ya watu wake huwezi tofautisha kati ya wanawake na wanaume..sababu chuki zinazidi Mipaka! hivi kuna ubaya gani JK kuhudhuria msiba wa baba mzazi wa rais mwenzie? Au kuna anaejua mahusiano yao hadi awe wa kwanza kumdhihaki? na niimani yangu wengi JF members ambao wanaelimu nzuri likely ata maisha yao simabaya sana ndo wana access na hii forum lakini ndo wakwanza kudhihaki, kudharau rais...bila yakujua nchi nyingi ata uko US ndo ata ajira hakuna