Hongera Raisi wetu watu watakufa midomo juu kwa umbeya la muhimu kazika kamaliza sasa endeleeni kuumia, kila afanyalo baya lipi bora kwenu hamuachi? watu tuache chuki za kisiasa bado hatujakomaa kisiasa tunaleata chuki za paka na panya tutaishia pabaya