Raisi Denis Ngueso abadili Katiba

Raisi Denis Ngueso abadili Katiba

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,227
Reaction score
1,362
Raisi wa Congo Brazaville, Denis seso Ngueso amefanya mabadiliko ya KATIBA ili atawale kwa kipindi cha tatu. Kwa mujibu ya Taarifa za CCTV-Africa, kiongozi huyo ameliomba bunge limruhusu kugombea uraisi wa nchi mwaka 2016. Bila haya wala woga wa kile kilichomkuta mwenziye, Kompaole wa Bukina faso, Ngweso anamuiga kabila kwa Zaire. Jamanio kweli Africa kuna viongozi au mizuka? AU iko wapi kulalamikia jambo hilo? au inangojea kupeleka majeshi ya kulinda amani?
 
Rafiki wa karibu na Kagame
hii picha walikutana Rwanda april 2014 labda walikutana kujadili kubadili katiba za nchi zao waendelee kutawala
https://www.flickr.com/photos/paulkagame/13719330035/
 
Daah...umenikumbusha mbali sana kuhusu huyu jamaa. amekuwa Rais mara 2 kwa nyakati tofauti. Nakumbuka aliingia kwa mtutu Ikulu baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe (Civil war) mwaka 1997. kabla ya hapo alikuwa Rais mwaka 1979 mpaka 1992. Afrika tuna safari ndefu sana.....
 
Back
Top Bottom