M MTU WA NJIA HII JF-Expert Member Joined Jun 18, 2013 Posts 237 Reaction score 52 Dec 26, 2014 #1 Tunataka rais ajaye awe kama alivyokuwaSamora Machel,au wadau mnasemaje? Attachments tis.jpg 19.1 KB · Views: 176 samora dar.jpg 138.9 KB · Views: 188
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Dec 26, 2014 #2 samora alikuwaje - yaani sifa ipi yake unataka raisi wetu ajae awe nayo ?
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Dec 26, 2014 #3 kwani kuna mashindano ya kupigana kwetu ni amani tele ndo maana Lowasa hawezi kukimbia mitaa 100 lakini anatamani kuwa raisi
kwani kuna mashindano ya kupigana kwetu ni amani tele ndo maana Lowasa hawezi kukimbia mitaa 100 lakini anatamani kuwa raisi