Rais wetu na shukrani kwa Clouds TV

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,462
Kwa mtazamo wangu Rais wetu hajawaangusha akina Ruge walijitoa sana wakati wa kampeni siyo lazima shukrani iwe kwa kupata cheo, mnaona hiyo habari itazungumzwa muda mrefu sana.Ndo ameitangaza Clause hivyo tena bure ndo malipo hayo.
 
Bado ile ya mwanza aloitumbua, mwanzo mwanzo
Ngoja tuone atailipaje nayo, kazi yake nayo ilikuwa nzuri
 
Kwa mtazamo wangu Rais wetu hajawaangusha akina Ruge walijitoa sana wakati wa kampeni siyo lazima shukrani iwe kwa kupata cheo, mnaona hiyo habari itazungumzwa muda mrefu sana.Ndo ameitangaza Clause hivyo tena bure ndo malipo hayo.
Jamani mi niko hoi na mbavu zangu kujaribu kuelewa kwanza clause ndio nini hapa?? mtoa mada umekosea nchi naona; haieleweki
 
Huko kukosea kumenisaidia kujua wangapi humu mna makengeza kichwani
Nimeona kwa macho muu wazima kabisaa, ila mna makengeza kichani
 
JOE Kusaga nadhani wengi hamjui vizuri but everything was planned it's not accidentally or suddenly occurred. Ngosha is an actor like other actors.
 
Weka fikra kwenye huo usanii kwanza acha makengeza ningezaa tuuu kwa mchongo wa mola
Ila usanii wa akina Kusaga ni shiiida
 
Back
Top Bottom