Lakini siyo ya kuuza madwa ya kulevya..Umetaja mengi sana
Hivi mkuu unadhani hapa duniani kuna binadamu ambaye yuko perfect?
Huwezi kuwa na yote hayo uliyotaja hata tukikuchagua wewe lazima utakuwa na dosari zako, uwe CCM au Chadema wote ni binadamu tu