mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Mkuu,najua wewe ni msomaji mzuri sana wa Jamii forum,hadi kupelekea kuweka watu wa doria mitandaoni..pia najua kitengo cha doria mitandaoni kipo jeshi la Polisi,Tiss na ididara nyingine...najua ujumbe huu unausoma na unaelewa nini tunamaanisha...neno Rushwa,wizi ubadhilifu ni maneno sahihi sana,huna sababi ya kuyapa maneno mbadala..unapowatimua sema namfukuza kwa tuhuma za Rushwajapo ni tuhuma) ikishathibitika chukuwa hatua za kisheria na kinidhamu,usipambe lugha eti majipu,ametumbuliwa nk..na hii ya atapangiwa majukumi mengine ACHA kama umemsimamisha we simamisha uspambe,usiache waish kwa matumaini tena...na hao uliwatoa nafasi zao kwa itendaji mbovu sema tu uspambe lugha...leo unao mabalozi ambao hawajui wataenda wapo...wanaish kwa matumaini umewatoa nafasi zao....usisambaze kansa asiyestahili hafai...vijana wazalendo wapo wengi mitaani wenye uwezo na ari ya kulitumikia taifa...hawa wastaafu acha wakalee wajukuu zao nafasi wape vijana..wale polisi waliokuwa wanashirikiana na wahalifu leo wapo waliotolewa mikoani na wamesogezwa mahala jirani na ikulu..fukuza tu usione haya...unaujua ugumu wa uchaguzi2020 sio mbali...tunapoelekea watu wanataka ukweli na hatua zilizochukuliwa lakini zaid watadai ubunifu katika kuwapa unafuu wa maisha...kukusanya nakubaliana kabisa na wewe,je ulichokusanya kinaisaidiaje kaya..kuwa na akauntinononono wakatiwakati kakaya ina njaa itafanya wanao wakale kwa jirani na huko si kwema watakuja na tabia ambazo si za malezi ya kaya yako....Tuambie askari waliobambika watu kesi pia kupitia wakubwa zao na wanaodhulumu haki za wenzao...leo jeshi lina mwanya mkubwa sana wa maelewano na raia...yule mchungaji mwema alijaribu kulipunguza japo hakufanikiwa....leo askari anaelinda anakamatwa kaibtena mafuta ya ndege)unadhani anaenda kumuuzia nani mwenye ndege anaejaza mafuta mitaani zaidi ya kuwashia kubatari chake...kuoneana aibu ndokkumelifikisha taifa hapa...mwizi aitwe mwizi sio jipi...tangu umesema unamtafutia yle katibu mkuu kiongozi majukumu mengine hadi leo hayajapatikana?kama rais kumtafutia mtu ajira ni ngumu vipi vijana wanaocheza pool watazipata vipi..najua wewe ni mcha mungu hupendi dhambi japo dhambi zinakupenda...kuanza upya si ujinga magereza yetu yamejaa watoto wa maskini...bado haki inauzwa baba matajiri hawatajipanga hadi jioni 2020 ila maskini...mafisadi hawakutufikisha hapa ila kuoneana haya ndo kumetufikisha hapa..sio kila kitu upo sawa na sahihi..ishi.vzr na wapinzani wako,hawatakupinga ila kukupa ushauri...mizizi ya ninayosema ni michungu sana ila matunda yake ni matamu...nakushukuru kwa kutupa mkuu wa mkoa mpya wa Tanga japo kaanza na kituko cha kutenga mtoto wa jirani bandarini usilichikulie mzaha linaweza kuwa na sura mbaya baadae...Mungu akutangulie
Ni mimi mgosi mgeni wa humu ndani
Ni mimi mgosi mgeni wa humu ndani