Rais, wana Dodoma tunaomba utuletee mkuu wa mkoa kijana

analysti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
731
Reaction score
615
Mheshimiwa Raisi, kwa heshima na taadhima sikupangii bali ninakuomba utuletee mkuu wa mkoa kijana hapa Dodoma ili aweze kuendana na kasi ya kuubadilisha mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu.

Mheshimiwa Rais, ni dhahiri kabisa kwamba kwa mkoa kama Dodoma ambao ndio unatakiwa kubadilika kimuonekano na maendeleo kutoka ktk hali uliokuwa nao na kuenda ktk hali ya kuwa Makao makuu ua nchi anahitajika mkuu wa mkoa mwenye maono, mbunifu mchapakazi na mwenye hamasa!

Kiukweli Mh.Rais mkuu wa mkoa tulienae hivi sasa amefanya mkoa umepoa, hakuna hamasa za maendeleo, mabadiliko yanatokea kwa kasi ya konokono. Ni dhahiri kabisa Mh. Rais kuwa maendeleo ni lazima yawe shirikishi, kwa uratibu wa viongozi akiwemo mkuu wa mkoa.

Tumeona vijana wakiwa chachu ya maendeleo ktk mikoa na wilaya wanazoziongoza kama wakuu wa mikoa au wilaya, hivyo tunaomba utuletee kijana mmoja aje achangamshe Dodoma iwe vibrant!. Mtu kama Ole Sabaya anaweza kuwa chachu mpya ya maendeleo ktk mkoa wa Dom.

Mh. Rais ninazungumza hayo kwakuwa nina kiu ya kuona Dodoma ikibadilika kimuonekano, wananchi wake wakibadilika kimtazamo, watu wafanye kazi kwa bidii ili kuuletea mkoa maendeleo.
 
Mimi ni kijana sina kazi mkuu inakuwaje Kama nikakupa na Jina langu kabisa umtumie mkulu nitinge hapo DODOMA

Typed Using KIDOLE
 
Hamasa gani alizoleta huyo Ole Sabaya huko aliko isipokuwa fujo tu za kufukuza wawekezaji na kudharau viongozi wake wa kazi? Unajua kuwa huyo Dr. Mahenge hapo Dodoma sio kiongozi wa makelele yeye ni kiongozi wa vitendo na ndio maana Dodoma inaongoza kwa kukusanya mapato ya serikali nchi nzima!!! Wewe unataka viongozi wakuu wa mikoa wanaowafukuza wataalam kazini kwao kama huyo kijana wa Iringa; eti ili waonekane ni wawajibikaji na kujitangaza kwenye vyombo vya habari! Ujana sio qualification ya kuweza kuleta maendeleo; kuna wazee wengi ambao wana uwezo wa kuongoza kuliko vijana!
 
Nipe mfano wa kijana asiyekurupuka, asiyejiona bora mkoa mzima, na anayetumia busara katika maamuzi na mafanikio yao na ya kampeni zao. Utaje mikoa yao pia, kati ya walioteuliwa hadi sasa.
Bila hivyo, Dodoma mnajiombea majanga.
 
Mheshimiwa Raisi, kwa heshima na taadhima sikupangii bali ninakuomba utuletee mkuu wa mkoa kijana hapa Dodoma ili aweze kuendana na kasi ya kuubadilisha mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu.

Mheshimiwa Rais, ni dhahiri kabisa kwamba kwa mkoa kama Dodoma ambao ndio unatakiwa kubadilika kimuonekano na maendeleo kutoka ktk hali uliokuwa nao na kuenda ktk hali ya kuwa Makao makuu ua nchi anahitajika mkuu wa mkoa mwenye maono, mbunifu mchapakazi na mwenye hamasa!

Kiukweli Mh.Rais mkuu wa mkoa tulienae hivi sasa amefanya mkoa umepoa, hakuna hamasa za maendeleo, mabadiliko yanatokea kwa kasi ya konokono. Ni dhahiri kabisa Mh. Rais kuwa maendeleo ni lazima yawe shirikishi, kwa uratibu wa viongozi akiwemo mkuu wa mkoa.

Tumeona vijana wakiwa chachu ya maendeleo ktk mikoa na wilaya wanazoziongoza kama wakuu wa mikoa au wilaya, hivyo tunaomba utuletee kijana mmoja aje achangamshe Dodoma iwe vibrant!. Mtu kama Ole Sabaya anaweza kuwa chachu mpya ya maendeleo ktk mkoa wa Dom.

Mh. Rais ninazungumza hayo kwakuwa nina kiu ya kuona Dodoma ikibadilika kimuonekano, wananchi wake wakibadilika kimtazamo, watu wafanye kazi kwa bidii ili kuuletea mkoa maendeleo.
Kazaneni kufuga mafisi kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeee
Common Sense is not Common.
 
Tutawaletea yule Wa darisalama,maana kule wanamnanga sana....
 
Akili za ajabu kweli hizi!

Kama unamtaka kiongozi eti kwa sababu ya umri wake basi amteue Stive Nyerere ikiwa unaona umri ndio kigezo na hamasa!

Mhandisi Mahenge ni kiongozi bora na mwenye si tu speed kali pia busara na akili kubwa afaaye kuongoza mji ambao ni Makao makuu ya nchi.

Nikikuuliza unamchukia kwamba hafai kwa nini na umlete huyo Sabaya wako utanipa sababu zenye akili?
 
naomba nikupinge hata kama una nia jema na wazo lako laweza kuwa zuri.

1. Ujana na uzee si sababu ya mabadiliko, kuwepo kwa usimamizi na ufuatiliaji mzuri ndio tija kufikia malengo ya kimaendeleo.kwa hiyo ningetegemea useme unahitaji mletewe RC ambaye ni mfuatiliaji na mtekelezaji wa mikakati kwa wakati haijalishi ni mzee au kijana.

2. Umezungumzia wilaya nyingi zinafanya vizuri kwa kuwa na ma- DC vijana. je, wilaya ya dodoma haina DC kijana? Kwa nini umezungumzia wilaya nyingine ukamuacha mkuu wako wa wilaya ambaye ni kijani? hapo umethibitisha kuwa si kila kija anafaa kuwa kiongozi bora wa hitaji lako

3.Nadhani una ufahamu wa majukumu ya serikali. mkuu wa mkoa ni mtekelezaji tu wa majukumu ya serikali kuu na si mtendaji. huoni lawama unazompatia zinaweza zisimuhusu moja kwa moja? kama suala la mipango , wakurugenzi na wizara ndio wa kulaumiwa.

4.huoni kuwa unahitaji mtu wako awe RC na si hitaji la wana dodoma? Umemponda mtu na kumpendekeza mtu wako
 
Mheshimiwa Raisi, kwa heshima na taadhima sikupangii bali ninakuomba utuletee mkuu wa mkoa kijana hapa Dodoma ili aweze kuendana na kasi ya kuubadilisha mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu.

Mheshimiwa Rais, ni dhahiri kabisa kwamba kwa mkoa kama Dodoma ambao ndio unatakiwa kubadilika kimuonekano na maendeleo kutoka ktk hali uliokuwa nao na kuenda ktk hali ya kuwa Makao makuu ua nchi anahitajika mkuu wa mkoa mwenye maono, mbunifu mchapakazi na mwenye hamasa!

Kiukweli Mh.Rais mkuu wa mkoa tulienae hivi sasa amefanya mkoa umepoa, hakuna hamasa za maendeleo, mabadiliko yanatokea kwa kasi ya konokono. Ni dhahiri kabisa Mh. Rais kuwa maendeleo ni lazima yawe shirikishi, kwa uratibu wa viongozi akiwemo mkuu wa mkoa.

Tumeona vijana wakiwa chachu ya maendeleo ktk mikoa na wilaya wanazoziongoza kama wakuu wa mikoa au wilaya, hivyo tunaomba utuletee kijana mmoja aje achangamshe Dodoma iwe vibrant!. Mtu kama Ole Sabaya anaweza kuwa chachu mpya ya maendeleo ktk mkoa wa Dom.

Mh. Rais ninazungumza hayo kwakuwa nina kiu ya kuona Dodoma ikibadilika kimuonekano, wananchi wake wakibadilika kimtazamo, watu wafanye kazi kwa bidii ili kuuletea mkoa maendeleo.
Acha ujinga, Mzee Mahenge atoe pesa zake mfukoni?

Wewe kama kijana wa Dodoma ,umelifanyia nini jiji lako cha kujivunua?
Au ndio umekalia majungu na fitina?,ukiomba miujuza ya sir God utajilike ukiwa umekaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Raisi, kwa heshima na taadhima sikupangii bali ninakuomba utuletee mkuu wa mkoa kijana hapa Dodoma ili aweze kuendana na kasi ya kuubadilisha mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu.

Mheshimiwa Rais, ni dhahiri kabisa kwamba kwa mkoa kama Dodoma ambao ndio unatakiwa kubadilika kimuonekano na maendeleo kutoka ktk hali uliokuwa nao na kuenda ktk hali ya kuwa Makao makuu ua nchi anahitajika mkuu wa mkoa mwenye maono, mbunifu mchapakazi na mwenye hamasa!

Kiukweli Mh.Rais mkuu wa mkoa tulienae hivi sasa amefanya mkoa umepoa, hakuna hamasa za maendeleo, mabadiliko yanatokea kwa kasi ya konokono. Ni dhahiri kabisa Mh. Rais kuwa maendeleo ni lazima yawe shirikishi, kwa uratibu wa viongozi akiwemo mkuu wa mkoa.

Tumeona vijana wakiwa chachu ya maendeleo ktk mikoa na wilaya wanazoziongoza kama wakuu wa mikoa au wilaya, hivyo tunaomba utuletee kijana mmoja aje achangamshe Dodoma iwe vibrant!. Mtu kama Ole Sabaya anaweza kuwa chachu mpya ya maendeleo ktk mkoa wa Dom.

Mh. Rais ninazungumza hayo kwakuwa nina kiu ya kuona Dodoma ikibadilika kimuonekano, wananchi wake wakibadilika kimtazamo, watu wafanye kazi kwa bidii ili kuuletea mkoa maendeleo.

UKITAKA MKUU WA MKOA MBUNIFU NA MCHAPA KAZI NA ANAWEZA KUBADILISHA DODOMA KWA MWAKA TU NI MAKONDA NI MBUNIFU MCHAPAKAZI NAJUA MTANIPINGA KWA CHUKI TU ILA HUYU KIJANA MAKONDA HAKUNA MKUU YEYOTE WA MKOA ANAWEZA KUMFIKIA ACHA ZILE MAKOSA MADOGO MADOGO YA KIUBINADAMU LAKINI YUPO OK SANA NA JUA ANACHUKIWA SANA NA BAADHI YA WAUZA UNGA LAKINIHIYO HATOFUNIKA JUHUDI ZAKE ZISIONEKANE
 
sawa SABAYA kilio chako kimesikika ila uache UJINGA wa kujipigia promo chapa kazi uonekane
 
Mheshimiwa Raisi, kwa heshima na taadhima sikupangii bali ninakuomba utuletee mkuu wa mkoa kijana hapa Dodoma ili aweze kuendana na kasi ya kuubadilisha mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu.

Mheshimiwa Rais, ni dhahiri kabisa kwamba kwa mkoa kama Dodoma ambao ndio unatakiwa kubadilika kimuonekano na maendeleo kutoka ktk hali uliokuwa nao na kuenda ktk hali ya kuwa Makao makuu ua nchi anahitajika mkuu wa mkoa mwenye maono, mbunifu mchapakazi na mwenye hamasa!

Kiukweli Mh.Rais mkuu wa mkoa tulienae hivi sasa amefanya mkoa umepoa, hakuna hamasa za maendeleo, mabadiliko yanatokea kwa kasi ya konokono. Ni dhahiri kabisa Mh. Rais kuwa maendeleo ni lazima yawe shirikishi, kwa uratibu wa viongozi akiwemo mkuu wa mkoa.

Tumeona vijana wakiwa chachu ya maendeleo ktk mikoa na wilaya wanazoziongoza kama wakuu wa mikoa au wilaya, hivyo tunaomba utuletee kijana mmoja aje achangamshe Dodoma iwe vibrant!. Mtu kama Ole Sabaya anaweza kuwa chachu mpya ya maendeleo ktk mkoa wa Dom.

Mh. Rais ninazungumza hayo kwakuwa nina kiu ya kuona Dodoma ikibadilika kimuonekano, wananchi wake wakibadilika kimtazamo, watu wafanye kazi kwa bidii ili kuuletea mkoa maendeleo.
"Makao makuu ya nchi panahitajika Mkuu wa Mkoa mwenye maono, mbunifu mchapakazi na mwenye hamasa!"Hii statement haina ukweli,qualities ulizozitaja zinahitajika kwa kila mtendaji,sio Mkuu wa Mkoa tu.Na piaa, mbona Mkuu wa Mkoa mwenye qualities hizo sio lazima awe kijana,hata mtu wa makamu na mzee anaweza kuwa nazo.Kuwa realistic mkuu.
 
Hamasa gani alizoleta huyo Ole Sabaya huko aliko isipokuwa fujo tu za kufukuza wawekezaji na kudharau viongozi wake wa kazi? Unajua kuwa huyo Dr. Mahenge hapo Dodoma sio kiongozi wa makelele yeye ni kiongozi wa vitendo na ndio maana Dodoma inaongoza kwa kukusanya mapato ya serikali nchi nzima!!! Wewe unataka viongozi wakuu wa mikoa wanaowafukuza wataalam kazini kwao kama huyo kijana wa Iringa; eti ili waonekane ni wawajibikaji na kujitangaza kwenye vyombo vya habari! Ujana sio qualification ya kuweza kuleta maendeleo; kuna wazee wengi ambao wana uwezo wa kuongoza kuliko vijana!
Kwa sababu tu Mheshimiwa Rais kaamua kuwatumia hawa vijana kwa wingi kwenye baadhi ya post nyeti sasa wameanza kuota mapembe na kufikiri kwamba wana uwezo sana kuliko kaka na baba zao waliowatangulia. Nadhani baadhi ya vijana wemeanza kufikiri kwamba U RC na UDC ni vyeo kwa ajili yao. Kwanza wanatakiwa wamshukuru sana Mh. Kwa uvumilivu wake dhidi yao pamoja na utendaji wao mbovu na ukatili wanaouonesha dhidi ya waliochini yao. Watu kama RC wa Morogoro, pwani, dodoma, Tbr, Njombe, Lindi, Shy, Kigoma, Singida, Geita na wengineo wenye umri huu wanafaa zaidi na ni mifano mizuri kwa viongozi wengine kuliko hawa ma Rc vijana. Hawa vijana Watulie wajifunze kwanza kazi kuliko kuanza kukodolea macho kila post iliyo mbele yao.
 
Back
Top Bottom