Sata amefariki Jumanne hii baada ya kulazwa kwenye hospitali ya King Edward VII,nchini uingereza Alikuwa na umri wa miaka 77.
Nafasi ya Sata inaweza kushikwa kwa muda na waziri wa ulinzi Edgar Lungu, ambaye hivi karibuni alikuwa kaimu rais ama makamu wa rais Guy Scott, ambaye atakuwa rais wa kwanza mzungu tangu FW de Klerk wa Afrika Kusini mwaka 1994.
btw, kuna somo la kujifunza hapa: kwa wastani wa maisha ya mtz si busara kumpa kura za urais mgombea ambaye ameshavuka miaka 55, ni msiba wa kujitakia. Kupata akina Mugabe si mchezo. Pole zao akina wasira, slaa, pinda et al