ng'ombo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 418
- 619
Rais wa 44 wa Marekani Barack Obama leo imethibitika bado anapendwa na raia wengi wa Marekani baada kufanya ziara kushtukiza na kupokewa kwa shangwe na furaha katika hospital moja katika jiji la Washington DC alipokwenda kutoa zawadi za Christmas na kuwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospital hiyo.