Rais wa TFF hajui nchi iliyocheza Stars

Rais wa TFF hajui nchi iliyocheza Stars

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,293
Reaction score
6,903
Rais mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi katoa mpya leo kwa kutojua jina la nchi iliyocheza na Stars jana.
Baada ya kwisha kwa mchezo Malinzi alitoa matokeo ya mechi hiyo ktk tovuti ya Twitter akiandika hivi@jamalmalinzi: International soccer friendly,full time Tanzania 0 Malawi 0.

Katika mechi hiyo Tanzania ilicheza na Zimbabwe.
 
huenda wamemchakachua, nahisi yeye aliagiza Malawi ndio ije icheze ili kumpoza machungu Joyce lakn watendaji wameileta Zimbabwe
 
Ni mwanachama humu ,atakuja toa ufafanuzi.Ni mambo ya Nguvu mpya ,Ari mpya ,Kasi mpya.
 
1477400_632237453486500_463526010_n.jpg


kaka Jamal Malinzi haya ya Mulongo/muhugo tumuachie mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Alipokuwa Katibu Mkuu Yanga Sc Wanayanga tulidhalilika sana mbele ya Simba nani anabisha? Yasije tokea hayo kwa timu ya taifa kufungwa ovyo lakini anaonyesha sura ya seriousnes let time judge
 
Anatakiwa kuwa makini kabla hajaota kauli,la sivyo tutashindwa kumtofautisha na akina Mulugo,Rage,sorry Maharage na Julio aka bwa2..........
 
Back
Top Bottom