GE2025 Rais wa shirikisho la sanaa za maonyesho Tanzania Dkt Cynthia Henjewele achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kigamboni

GE2025 Rais wa shirikisho la sanaa za maonyesho Tanzania Dkt Cynthia Henjewele achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kigamboni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Rais wa shirikisho la sanaa za maonyesho Tanzania Dkt Cynthia Henjewele amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la kigamboni jijini Dar es Salaam kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Dkt Henjewele amekuwa na mchango mkubwa katika kuikuza na kuitangaza sanaa za maonyesho ambazo zimekuwa na mchango kwa watanzania katika kuongeza uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
SaveClip.App_510905655_18049608713528723_5964423389788832604_n (1).jpg
 
Back
Top Bottom