johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,493
- 147,267
Hatimaye Ebrahim Raisi aliyekuwa Rais wa Iran amezikwa nyumbani kwao Mashhad
Source: BBC
Source: BBC
R.I.P Hayati President Ebrahim Raisi, 🐒Hatimaye Ebrahim Raisi aliyekuwa Rais wa Iran amezikwa nyumbani kwao Mashhad
Source: BBC
Kafa kizembe sana.Hatimaye Ebrahim Raisi aliyekuwa Rais wa Iran amezikwa nyumbani kwao Mashhad
Source: BBC
Mbona wanazika kisiri Siri?Hatimaye Ebrahim Raisi aliyekuwa Rais wa Iran amezikwa nyumbani kwao Mashhad
Source: BBC
Huyu sio Dr nae?R.I.P Hayati President Ebrahim Raisi, 🐒
Nakubaliana na weweKafa kizembe sana.
Makiwa kwa wafiwaHatimaye Ebrahim Raisi aliyekuwa Rais wa Iran amezikwa nyumbani kwao Mashhad
Source: BBC
masalia ya mwili baada ya kufanyiwa dnaWanazika nini? Au mwili ulipatikani.
sana,kwanza wametumia helikopta iliyoundwa miaka 40 iliyopita,na ambayo haiwezi kuruka kwenye hali mbaya ya hewa,wataalamu wa hali ya hewa ni vipi waliruhusu helikopta iruke mpaka sasa majibu hakuna.Mtu mwema sana marehemu,haluwa na makuu na hakuwa mtu wa matumizi makubwa,Mola amuweke mahala pema pema peponi.AminaKafa kizembe sana.
Wanatengeneza vidrone wana vibebesha gun powder halafu wanaita mambomu, kwanini wasitengeneze vipuri vya hiyo helikopter? Wana pesa wange ibomoa na kutengeneza kila kipande mwisho wangekuwa na helkopter mpya.sana,kwanza wametumia helikopta iliyoundwa miaka 40 iliyopita,na ambayo haiwezi kuruka kwenye hali mbaya ya hewa,wataalamu wa hali ya hewa ni vipi waliruhusu helikopta iruke mpaka sasa majibu hakuna.Mtu mwema sana marehemu,haluwa na makuu na hakuwa mtu wa matumizi makubwa,Mola amuweke mahala pema pema peponi.Amina
Hivi kati ya huyu Ebrahim Raisi na Yitzhak Rabin ni yupi aliyekufa kizembe?Kafa kizembe sana.
Ule msafara ulikuwa na helicopter tatu; ya Rais na nyingine mbili kama escorts. Wanahoji, ilikuwaje zile mbili ambazo probably ni inferior kuliko ile ya Rais zisiwe na shida na weather isipokuwa ile iliyo bora zaidi?sana,kwanza wametumia helikopta iliyoundwa miaka 40 iliyopita,na ambayo haiwezi kuruka kwenye hali mbaya ya hewa,wataalamu wa hali ya hewa ni vipi waliruhusu helikopta iruke mpaka sasa majibu hakuna.Mtu mwema sana marehemu,haluwa na makuu na hakuwa mtu wa matumizi makubwa,Mola amuweke mahala pema pema peponi.Amina
... au J. F. Kennedy? Vipi Saddam Hussein aliyedakwa shimoni? Vipi Gaddafi aliyeuliwa mtaroni?Hivi kati ya huyu Ebrahim Raisi na Yitzhak Rabin ni yupi aliyekufa kizembe?
Mtu mwema???? alijulikana kama butcher of Tehran, unajua kwanini? go educate yourselfsana,kwanza wametumia helikopta iliyoundwa miaka 40 iliyopita,na ambayo haiwezi kuruka kwenye hali mbaya ya hewa,wataalamu wa hali ya hewa ni vipi waliruhusu helikopta iruke mpaka sasa majibu hakuna.Mtu mwema sana marehemu,haluwa na makuu na hakuwa mtu wa matumizi makubwa,Mola amuweke mahala pema pema peponi.Amina
I'm not sure 🐒Huyu sip Dr nae?
Mtu mwema???? alijulikana kama butcher of Tehran, unajua kwanini? go educate yourself