Rais wa Iran aagiza jeshi liombe msamaha na kueleza nini kilitendeka, na aahidi mabadiliko makubwa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Baada ya aibu ya Jeshi la Iran kuweweseka na kuchanganyikiwa na kupiga kombora ndege ya abiria, na pia maandamano ya raia ya siku nne, Rais wa nchi hiyo amejitokeza na kuagiza jeshi litolee taarifa nini kiltendeka na pia liombe msamaha na kwamba kutakua na mabadiliko makubwa Iran.

Pia ameomba umoja wa wananchi wa huko na akaomba kuwe na mabadiliko ya kidemokrasia ili viongozi wawe wanachaguliwa na wananchi ili kuondokana na ubabe usiokuwa na tija.

Nchi hiyo imekumbwa na matatizo mengi, kwa sasa wanahangaika na mafuriko makubwa ambayo yametokana na mvua.

Kazi kwenu Wabongo/Wa-Iran wa JF ambao kutwa mnaonyesha uzalendo kwa Iran kuliko Wa-Iran wenye nchi

=====
Iran's Rouhani urges 'unity' after plane protests

8053fca67daa0b293583930b206d3e4f4f93a161.jpg

President Hassan Rouhani appealed Wednesday for "unity" and flagged the need for radical changes to the way Iran is run, after a wave of angry protests over the accidental downing of a Ukrainian airliner.

The Kiev-bound Boeing 737 was shot down last week in a catastrophic error shortly after takeoff from Tehran, killing all 176 passengers and crew on board.

Iran had for days denied claims based on US intelligence that the plane had been downed by a missile, triggering four days of demonstrations as well as international calls for a full and transparent investigation.

One week on from the disaster, Rouhani called for "national unity" in an address broadcast live on state television.

"If there was a delay" by the armed forces to release information about the air disaster, "let them apologise," he said.

Rouhani also called for a full explanation of what happened in the air disaster, which came hours after Iran's military fired a wave of missiles at US troops stationed in Iraq.

The missile attack was launched in retaliation for a US drone strike that killed Iran's most prominent general, Qasem Soleimani, who headed the Revolutionary Guards' foreign operations arm.

Rouhani also said Iranians wanted "diversity" as he urged the electoral authorities to refrain from disqualifying would-be candidates for a February 21 general election.

That would mark a major shift in a country where all candidates are vetted by a constitutional watchdog, The Guardian Council, for their loyalty to the state.

"The people are our masters and we are its servants. The servant must address the master with modesty, precision and honesty," Rouhani said in his remarks after a cabinet meeting.

"The people want to make sure that the authorities treat them with sincerity, integrity and trust.

"Allow all parties and groups to run for office," he said. "Surely you have nothing to lose.

"The country cannot be governed by one political wing alone. The country belongs to everyone."

- Crisis after crisis -

Iran has been rocked by crisis after crisis since 2018.

In May that year, US President Donald Trump unilaterally withdrew from a landmark 2015 agreement that gave Iran relief from sanctions in return for curbs on its nuclear programme.

Since then, the US has relentlessly slapped waves of sanctions on Iran as part of a stated campaign of "maximum pressure".

Washington says the campaign is aimed at reining in Tehran's missile programme and "destabilising behaviour" in the region.

Iran has hit back by progressively reducing its commitments to the nuclear deal.

On Tuesday, as tensions mounted with the West over the downed airliner, European parties to the deal launched an arbitration process charging Iran with failing to observe its commitments to the accord.

In response Iran warned Britain, France and Germany they must "be prepared to accept the consequences" of their move.

The past year has seen arch-enemies Iran and the United States come to the brink of war on at least two separate occasions.

On June 21, 2019, Trump approved a strike on Iran in retaliation for its downing of a US drone, before cancelling it at the last minute.

Most recently, Iran had been braced for US counterstrikes after it launched a volley of missiles at US troops in Iraq to avenge Soleimani's killing. But Trump refrained after the missiles caused no casualties.

- 'American soldier is not safe' -

In his address on Wednesday, Rouhani blamed the United States and its allies for causing "insecurity" across the Middle East.

Their "mistakes", he said, included the Soleimani killing, interventions in Iraq, Yemen and Libya, as well as the US decision to pull out of the nuclear deal and reimpose sanctions on Iranian oil.

"Security in this sensitive and important region will come at the expense of the entire world," said Rouhani.

"Today the American soldier is not safe, tomorrow it could be the turn of the European soldier," he added, warning the US and its allies to leave the region.

The downing of the Ukrainian airliner came after a spate of disasters for Iran.

On January 7, at least 59 mourners were trampled to death at a funeral procession for Soleimani in his hometown of Kerman, in the southeast of the Islamic republic.

The country has also been wracked by heavy flooding since Friday that has claimed the lives of at least three people and left hundreds of villages cut off.

Referring to the series of disasters which he described as "unimaginable" and "unacceptable", Rouhani said they should lead to a "big decision" about Iran's political system.

"And that major decision," he said, "is national reconciliation."

"These (parliamentary) elections must be the first step."

Source: France 24
 
Utoto raha sana

Unachafuka baada ya kuiba Sukari, kumbe mdomoni imetapakaa. Ukiulizwa unakataa katakata mimi sijaiba Sukari mama.

Unaoneshwa hii nini mdomoni?

Hii nini mkononi?

Badala ya kukataa unaanza

Nisamehe mama,

Nisamehe nilikuwa nanjaaa sana

Nisamehe sikujuwa, usinipige.

Umemsahau kabisa ulikanusha katakata sio wewe ulieiba Sukari.

Yetu macho.......
 
... ukimsoma between the lines, kimtindo anashukuru mno kuuliwa kwa Jen. Qassem aliyekuwa anaripoti moja kwa moja kwa Ayatollah. Inaonekana Qassem alikuwa kitisho hata kwa Rais (Rouhani) mwenyewe; inaonekana jamaa aliogopwa mno. Hawezi kusema moja kwa moja lakini anashangilia kuuliwa kwa jamaa. Tulia soma kwa makini utaona hizo "elements".
 
... hiyo case ya kudungua ndege na jinsi ilivyokuwa handled sio utoto Mkuu bali ni wajinga. Yaani hadi walivyooneshwa picha za satellite (wote tuseme za Marekani) ndipo wakawa hawana jinsi tena otherwise walishaanza propaganda! Ni mangapi ya hatari including support for terrorism wanafanya huku wakijifanya "sio wao"?
 
Huyu rais naye ni mpuuzi,kwanini asingeomba msamaha kwa niaba ya jeshi? Kwani yeye si ndiyo amiri jeshi mkuu? Analisaliti jeshi huyo cyo MTU mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amiri jeshi mkuu ni Ayatollah Chief; huyo ni kikaragosi tu japo for the purposes of collective responsibility hakupaswa "kujitoa".
 
... ukimsoma between the lines, kimtindo anashukuru mno kuuliwa kwa Jen. Qassem aliyekuwa anaripoti moja kwa moja kwa Ayatollah. Inaonekana Qassem alikuwa kitisho hata kwa Rais (Rouhani) mwenyewe; inaonekana jamaa aliogopwa mno. Hawezi kusema moja kwa moja lakini anashangilia kuuliwa kwa jamaa. Tulia soma kwa makini utaona hizo "elements".
kuna vijikarata vyangu viwili vitatu nikivipiga kichwani mwangu, naona kifo cha General kule mashariki ya kati kinaleta mambo ya Kufa kufaana
 
kuna vijikarata vyangu viwili vitatu nikivipiga kichwani mwangu, naona kifo cha General kule mashariki ya kati kinaleta mambo ya Kufa kufaana
... ni kweli; wengi kwenye utawala wa Iran wanashukuru kweli kweli maana jamaa alikuwa mtata kupitiliza. Hata zile lugha za shombo, matusi, na kejeli kutoka Tehran zikiripotiwa na kimsboy humu zimepungua siku hizi. Inaonekana injinia alikuwa Qassem na magaidi wenzie. Anyway, tujipe muda tuone.
 
unajua hata jamaa alivyopatikanika ni kama walimchoka , mialiko gani ya kivile, alafu then leo habari ni ndege>mkataba wa nyuklia habari za kifo cha mheshimiwa kwinshne
 
Utoto raha sana

Unachafuka baada ya kuiba Sukari, kumbe mdomoni imetapakaa. Ukiulizwa unakataa katakata mimi sijaiba Sukari mama.

Unaoneshwa hii nini mdomoni?

Hii nini mkononi?

Badala ya kukataa unaanza

Nisamehe mama,

Nisamehe nilikuwa nanjaaa sana

Nisamehe sikujuwa, usinipige.

Umemsahau kabisa ulikanusha katakata sio wewe ulieiba Sukari.

Yetu macho.......
Kwamba hawana tofauti na mambosasa au?
 
Hahaha wabongo Nyoso

Back
Top Bottom