Rais wa Burundi asema nchi yake iko salama asilimia 99

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Wakati Tanzania ikipokea wakimbizi 89,619 kutoka Burundi, Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunzinza jana amesema nchi yake iko salama kwa asilimia 99 na haihitaji mazungumzo wala msaada wa wanajeshi kutoka umoja wa Afrika wa kulinda amani.

Nini maoni yako?

rAİS WA bURUNDİ.png
 
Huyu rais ana roho ngumu km ya paka, endelea kujidanganya tu lkn wote walokufa damu zao zinalia juu yako Na haziwezi kupumzika kwa amani huko zilipo, tambua IPO siku utalipa
 
Hapa naona mchambawima1 akisikia Jina Pierre Nkhurunzinza anapata kiwewe hadi roho inataka kumtoka,
Kwanza hata hajui kwamba complaint mechanism za UN au AU siyo through information disseminated by the media.
Propaganda tu sizizo na mbele wala nyuma.
 
Back
Top Bottom