Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 50
- 84
Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune, amewataka vijana wa Algeria wanaoishi nje ya nchi katika mazingira magumu na bila vibali halali kurejea nyumbani, akiahidi kurasimisha hali zao kisheria, ikiwemo kwa wale waliotenda makosa madogo katika nchi wanazoishi. Serikali imesema baadhi ya vijana hao walipotoshwa na kutumiwa kufanya vitendo vinavyokwenda kinyume na maslahi ya nchi yao, hali iliyowafanya waishi kwa umaskini, kutengwa na familia zao na kufanyishwa kazi zisizo na utu.
Hatua hiyo inatarajiwa kuwanufaisha maelfu ya vijana wa Algeria waliotoka nchini humo kinyume cha sheria katika miaka ya karibuni, ambapo takribani watu 54,000 walihamia Ulaya kati ya mwaka 2020 na 2024. Kwa mujibu wa sheria za Algeria, kuondoka nchini bila kibali ni kosa linaloadhibiwa kwa kifungo cha hadi miezi sita jela na faini, lakini amri ya rais itaruhusu vijana hao kurejea bila kufikishwa mahakamani iwapo wataahidi kutorudia kosa, isipokuwa wale waliotenda makosa ya vurugu, dawa za kulevya, biashara ya silaha au kushirikiana na vyombo vya kigeni kuhatarisha usalama wa taifa.
=========
Algeria’s President Abdelmadjid Tebboune has called on Algerian youth living abroad “in vulnerable and illegal situations” to come home.
During Sunday’s cabinet meeting, the president said he would regularise the status of these young citizens, including those who have committed minor infractions in their host country.
Some of these young people were “misled and exploited to act against their own country," the government said in a statement.
These young people now find themselves “separated from their families and friends, suffering in poverty and exploited in degrading work,” the statement read.
The measure could affect tens of thousands of young Algerians who have left their homeland illegally in recent years. Some 54,000 Algerians immigrated to Europe between 2020 and 2024, according to the International Organization for Migration.
Under Algerian law, leaving the country illegally is punishable by up to 6 months in prison and a fine.
The presidential decree would allow these youth to come home without facing legal proceedings if they pledge not to reoffend.
The measure “excludes anyone who committed violent crimes, drug offenses, arms trafficking,” or collaborated with foreign security services to “harm” Algeria.
Source: African news