Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
Baada ya muungano wa upinzani nchini Kenya CORD chini ya kinara wao Raila Odinga kuishinikiza tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kujiuzulu,
huku upinzani wakiongeza joto la kutaka kufanya maandamano zaidi, hatimaye Rais ametaka Makamishina hao watimuliwe haraka sana.
Rais alisema kuwa yeye si anayezuia kwani yuko tayari pamoja na watu wake katika kufanya haraka mabadiliko ya kuunda IEBC mpya,na kusema kuwa mwisho wa nyote IEBC sio yenye kura, kura ni za wananchi wa Kenya.