Rais tusaidie MRI ya Muhimbili MOI itengenezwe

Enzi kabla ya Magufuli zinarud. Wale wezi wa Muhimbili kuhujumu vifaa wako kazini
 
Wanazingua Sana mtu unakuta anashndwa kufanyiwa operation kisa vifaa hamna na ameshalipia ela Ila kalenda Kila siku
 
Vp waziri kashindwa kusaidia mkuu

Ova
 
Kwani hiyo mashine haijatengemezwa tu! Mbona Uzi wa muda huu
 
MTANIKUMBUKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…