Rais: Siyo lazima lakini fanya haya sasa

Mkuu jamaa anafanya vitu kwa ajili yake..vitu nilivyovitaja ukivigeuza utapata nini kifanyike mkuu, kwanza hawezi sikiliza kitu nahisi jamaa alikualia kwenye maisha magumu sana...
Badilisha katiba ili marais wajao wawe wa mboga saba tu
 
Usionyeshe hadharani kuwa wewe ni lofa, mtu kasema hadharani tena mbele ya Rais wa benki ya dunia kwamba hashauriwi mpaka Rais wa World Bank alikuwa na ushauri wa kumpa akausondeka kwenye mfuko wa shati kijanja kijanja akarudi nao kwao wewe unasema umshauri pumba tupu tena kupitia mitandao aliyosema ataifunga.

Kwa nini una likichwa ligumu hivi mkuu kama mkolomije?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…