Rais Shein Asema yeye bado ni Rais wa Zanzibar

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Rais Shein amesema hayo wakati alipokuwa anazindua jengo la Baraza huko Pemba.
Asema yeye bado ni Rais wa zanzibar na anayepinga aende mahakamani kwani katiba bado inamtambua
 
Rais huwekwa na wananchi na sio kwa mtutu wa bunduki.
 
Back
Top Bottom