Rais Samia ziarani Tabora

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,516
Reaction score
14,187
Kwa mujibu wa RC Batilda,Rais wa JMT Samia S.Hassan anatarakia kufanya ziara ya kikazi mkoani Tabora.

====

TAARIFA:

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt Batilda Buriani ametangaza Rasmi Kuwa Rais Samia Suluhu Hassan Kuanza Ziara ya Siku Tatu Mkoani Tabora Kuanzia Mwezi Mei 17-05-2022
 
Mama anaishi ndoto yake ya kusafiri. Inaelekea asingekuwa mwanasiasa angekuwa conductor wa mabasi au utingo wa malorry ya masafa marefu.
Kuna mtangulizi wake kila mwezi alikuwa anaenda Kanda ya ziwa , acheni nongwa [emoji34]
 
Huyu mama anachapa kazi bila kupumzika, hongera sana SSH, unaitumikia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…