Rais Samia ,Wanu Hafidhi Katika PICHA Ya Pamoja Na Viongozi Wa Jumuiya Ya Wanafunzi Wa Elimu ya Juu Hii Leo Baada Ya kufanya Nao mazungumzo

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,348
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akiwa Pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Mheshimiwa Wanu Hafidhi Wameweza kukutana na kufanya Mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya wanafunzi wa Elimu ya juu.

Ambapo masuala mbalimbali yameweza kuzungumzwa yenye kuleta na kuwapa matumaini vijana hao wa vyuo vikuu. Hali iliyopelekea au kuibua tabasamu na nyuso za furaha na matumaini kwa viongozi hao wa wanafunzi .

Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu Mpendwa amepandisha na kupaisha Pesa ya kujikimu kufikia Elfu kumi kwa siku. Narudia kusema kuwa kwa sasa Wanafunzi wa Elimu ya juu wanapata shilingi ELFU KUMI kila Uchao. Hiyo yote imewezekana kutokana na upendo mkubwa alionao Rais wetu kwa vijana wa Taifa hili.

Lakini pia Rais wetu mpendwa amekuwa akitoa mikopo na kuwapa mikopo wanafunzi wote wanaojiunga na Vyuo vikuu mbalimbali hapa Nchini na hata nje ya nchi. Kuna kitu pia inaitwa Samia Scholarships ambapo wanafunzi wengi sana wamekwea ndege kuelekea huko Duniani kupata Elimu ya Chuo huku Ada na gharama zooote zikitolewa na kugharamiwa na Rais wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia.

Lakini pia Ni Rais Samia ambaye tangia kuingia kwake Ikulu amekuwa akimwaga maelfu kwa Ma laki ya ajira kwa vijana . Hali iliyopelekea vijana wengi waliomaliza vyuo vikuu kupata ajira serikalini. Ambapo kwa sasa ukiingia mitaani na kuuliza wale waliomaliza vyuo vikuu miaka ya nyuma kidogo utakuta unaambiwa kijana huyu alishapata ajira kwenye serikali ya Rais Samia na sasa yupo mkoa fulani akichapa kazi.

Ndio maana Rais wetu amekuwa kipenzi cha vijana hapa Nchini. Na katika kuonyesha moyo wa kuwajali na kuwapenda vijana imefikia hatua Rais wetu Mpendwa ameunda wizara maalumu inayoshughulikia maendeleo na ustawi wa vijana ,ili masuala ya vijana yapate kipaombele na kutekelezwa vyema.

Kwa hakika vijana wana kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa. Na hata wazazi wanakila sababu ya kujivunia Rais Samia maana bila yeye kuna vijana wengi sana ambao wangekuwa wapo mitaani wanazurula kwa kukosa ajira.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260228-193940_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3550134
well done Dr.Samia Suluhu Hassan,
mkuu wa nchi na champion wa Elimu Tanznia kuzungumza na wanafunzi mustakabali wa elimu nchin na taifa kwa ujumla.

Mwenyezi Mungu aendelee kukupa maono zaidi:KasugaYeah:
 
Bwana asema hivi, Je, umeua ukatamalaki? Nawe utamwambia ukisema: Bwana asema hivi, mahali pale mbwa walipoilamba damu ya Nabothi, mbwa watailamba na damu yako, naam, damu yako."
 
Back
Top Bottom