Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,027
- 74,714
Jakaya Kikwete alishauri akiwa Rais kwa CCM kuhusu matumizi ya nguvu kujibu hoja kuwa hayasaidii zaidi ya kuharibu.
Sasa naona Rais Samia system yako imeshindwa kuelewa ujumbe huu nawe hutumii nafasi yako kuwaelimisha juu ya matumizi ya polisi na sasa wanakuharibia yote mazuri uliyojitengenezea ndani na nje ya nchi hadi sasa.
Unavyopambania bandari kwa kutumia polisi ndipo unakwama kabisa.