kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,198
Ametoa ya moyoniMKUU ACHA JAZBA...
MUNGU AMLINDE...
Kwani kamtukana mtu?Tuwe na akiba ya maneno
Ameandika kwa jazbaKwani kamtukana mtu?
Mama anaupiga mwingi sana. Mama mitano tenaKwa mambo yanayo endelea hasa mikataba ya ovyo iliyo ingiwa huu wa kuuza bandari zetu zote Kwa waarabu haikubaliki na hata mbuga zetu kiufupi hili jambo naomba kusema tu limekuondolea sifa kabisa ya kuwa mgombea wa 2025 . Watanganyika wana hasira Kali na wewe
Ukitaka watu warudi Iman kwako ni kuachana na hii mikataba ya kipumbavu na rudisha nchi kwenye misingi yake ya kulinda Mali zetu .
Mikataba mizuri ni ile yenye faida Kwa Taifa
Okay sawa nikajua kamtukana mtu jazba ni za kawaida hasa pale mtu anapo udhiwaAmeandika kwa jazba
Mikataba tafuta mwanasheria akae na wewe akupe shule kifungu kwa kifungu ili hii chuki yako ipungue.Kwa mambo yanayoendelea hasa mikataba ya ovyo iliyo ingiwa huu wa kuuza bandari zetu zote Kwa waarabu haikubaliki na hata mbuga zetu kiufupi hili jambo naomba kusema tu limekuondolea sifa kabisa ya kuwa mgombea wa 2025. Watanganyika wana hasira Kali na wewe.
Ukitaka watu warudishe imani kwako ni kuachana na hii mikataba na rudisha nchi kwenye misingi yake ya kulinda Mali zetu.
Mikataba mizuri ni ile yenye faida Kwa Taifa.
Utaondoka wewe na Samia atabakiKwa mambo yanayoendelea hasa mikataba ya ovyo iliyo ingiwa huu wa kuuza bandari zetu zote Kwa waarabu haikubaliki na hata mbuga zetu kiufupi hili jambo naomba kusema tu limekuondolea sifa kabisa ya kuwa mgombea wa 2025. Watanganyika wana hasira Kali na wewe.
Ukitaka watu warudishe imani kwako ni kuachana na hii mikataba na rudisha nchi kwenye misingi yake ya kulinda Mali zetu.
Mikataba mizuri ni ile yenye faida Kwa Taifa.
Mpuuzi huyo analeta mawazo ya chuki. Hajui kuwa huwa inarudi na kumtafuna muanzishaji wa wazo lenye uovu ndani yake.Utaondoka wewe na Samia atabaki
wewe kama nani?Kwa mambo yanayoendelea hasa mikataba ya ovyo iliyo ingiwa huu wa kuuza bandari zetu zote Kwa waarabu haikubaliki na hata mbuga zetu kiufupi hili jambo naomba kusema tu limekuondolea sifa kabisa ya kuwa mgombea wa 2025. Watanganyika wana hasira Kali na wewe.
Ukitaka watu warudishe imani kwako ni kuachana na hii mikataba na rudisha nchi kwenye misingi yake ya kulinda Mali zetu.
Mikataba mizuri ni ile yenye faida Kwa Taifa.