Rais Samia amesema ni Jukumu la kila mtu Kuzingatia Swala la afya ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama anavyoshauri Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof Mohamed Janabi.
Ila mama anaongoza kama malkia...
Kumbukeni yule wa Ulaya alipoambiwa wananchi wana njaa. Jibu toka kwa malkia...(..kama hawana mkate wala chakula WAPENI KEKI)?!
Bongo tutaisoma namba walahi....
Hili ni funika kombe, hakuna anayeliongelea ila waliochanja wana utando wa platiki unamea ndani ya mishipa yao. Huyu mama aliwatoa Watanzania kafara, halafu madaktari kama Prof Janabi hawaliongelei hili.
View attachment 2924296