johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Duuu noma sana.Rais Samia amesema ni Jukumu la kila mtu Kuzingatia Swala la afya ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama anavyoshauri Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof Mohamed Janabi
Source: Mwananchi Gazeti
π€πNaona Prof.Janabi akiandaliwa kuwa Waziri wa Afya, hisia zinasema hivyo
Naona Prof.Janabi akiandaliwa kuwa Waziri wa Afya, hisia zinasema hivyo
Ni mtu wa Ijumaa si unajua tena mazaNaona Prof.Janabi akiandaliwa kuwa Waziri wa Afya, hisia zinasema hivyo
Muda wake wa kuishi ulikuwa umefikia mwishoMama asione hii, kwamba chanjo ya corona imefanyaje vile ππ
View attachment 2923639
Yeah, aliahidiwa hivo baada ya kumuua maguNaona Prof.Janabi akiandaliwa kuwa Waziri wa Afya, hisia zinasema hivyo
Hii ni hatari.Yeah, aliahidiwa hivo baada ya kumuua magu
Hahaha dah! Jamani hapo si unamuona yuko na maji ya Kilimanjaro nimecheka sanaProffesor Janabi mwenyewe Yuko KFC..
Akijipatia vyake hapa baada ya kutoa Tamko kwa watanzania la Chakula..
View attachment 2923930
ππππ₯Proffesor Janabi mwenyewe Yuko KFC..
Akijipatia vyake hapa baada ya kutoa Tamko kwa watanzania la Chakula..
View attachment 2923930
Sasa unaenda kunywa maji KFC na hizo tomato na Chili za nini...Hahaha dah! Jamani hapo si unamuona yuko na maji ya Kilimanjaro nimecheka sana