Hatukopi Tu Bali tumekuwa ombaomba.Hakika kama kuna kundi ambalo lipo dersparate ktk jamii basi ni watumishi wa umma, wamedhalalika sana!! wanakopa hao mpaka wanajificha!!
wapeni Haki zao, acheni kukalia haki za watumishi.
Mkuu sina sababu yeyote ya kudanganya.Ili iweje hasa?If money had value nobody would complain. Money had value before the Uganda war,but after the Uganda war everything went wild.Mishahara haikuongezwa kwa kuwa nchi haikuwa na fedha na vitu vikapanda bei kwa kuwa vingi havikuwepo madukani,they were sold in the black market.I remember the only thing that you could get in shops was Marie biscuits and Siftings tea!The shops had virtually nothing.Wewe ni mwongo! Usilinganishe kwa tarakimu. Wakati wa Nyerere sh ilikuwa ina nguvu. 1985 fresh engineering graduate alikuwa analipwa sh 2750, bei ya tray ya mayai Kibaha ilikuwa sh 15!
Tundu Lissu angeweza sana. Lakini bado hatujakata tamaa.Mimi hua nawaza jambo moja tu.
Raisi atakaye rudisha nchi kwa wananchi na kuwanyang'anya wanasiasa atakua baba mdogo wa taifa.
Kwani haijawahi kuwa hivyo au kwa kuwa unakariri tuuNamba 9 "uweke mtu yeyote unayemtaka???
Utakuwa unaumwa UHALO
Nafikiri hukutakiwa kucomment chochote aisee....Ni aibuNaomba nikusaidie, umeingia matopeni huwezi kuvuka. Ukweli uko hivi:
1. Si kweli kwamba watumishi wa umma hawajaongezwa mshahara, kila mtu ana mkataba wake anapanda ngazi moja kila miaka kadhaa. Na kuna wengine wamepata promotions si kweli kwamba hawajapanda mshahara.
2. Magu alipandisha kima cha chini kwa kuongeza threshold ya PAYE. Huu ni mshahara wa pili almost, hasa kwa walio chini.
3. Kila mtumushi wa umma ana watoto, wengine hadi watoto 7 au 10. Nusu yao ni umri wa kwenda shule, sasa wanasoma bure. Kabla ya Magu, watoto milioni 2 walikuwa nyumbani tu wakichunga ng'ombe au kupiga miayo kwa sababu wazazi hawana hela ya ada ya shule. Sasa wote wanasoma, huu ni mshahara mkubwa sana.
4. Swali kikokotoo huna ujuzi nalo umeparamia tu. Hii ni sheria ya uchumi utaikuta duniani kote. Sina haja ya kukuelimisha ukitaka kujua nilipe au nenda Chuoni ukasome ulipe.
5. Mkopo wa Loans Board ni haki ya Watanzania wote. Kama wewe unataka usilipe riba au kuurudisha ilina wengibe waoate, jitoe. Kuna wengi saba watalipa riba na kurudisha deni kwa furaha kwa hiari.
Kwa ujumla haya ni malalamiko yako tu umeazima kutoka kwa tundulissu alisema hivohivo na matusi sawia. Ndiyo alibwagwa chini puuu!
Hela wanayo omba waongezwe itatokana na ongezeko la kodi kwa wafanya biashara, wakulima na wenye viwanda. Wafanyakazi halitawahusu kwani hata PAYE hayati aliwapunguzia. Kodi iliopo bado inapigiwa kelele kuwa ni kubwa, ongezeko lolote la kodi litaongeza mfumuko wa bei ambao utameza walicho ongezwa kwenye mshahara na wataanza upya kudai kuongezwa mshahara. Ni tabu tupu.Badala ya kuomba kupandishiwa mishahara ni kwanini msiombe bei za bidhaa zishuke? Mnataka muongezewe mishahara kwani mmeongezewa kazi?
Hapo nakuunga mkono. Tatizo lipo kwenye mlinganisho wa mishahara na kipato Tanzania. Kundi dogo la wafanyakazi na wanasiasa wanalipwa mapato makubwa sana, na ndilo lenye uwezo kupanga kujiongezea mapato zaidi kupitia safari za kikazi, semina na mengineyo. Huku kundi kubwa la watumishi na wasio katika ajira rasmi wakilipwa au kupata kisicho weza kidhi mahitaji yao.lkn cha kushangaza kuna baadhi ya watumishi wa umma wanalipwa mshahara mpaka Milioni 15, mil.10 kwa mwezi,.
Serikali inapaswa iangalie watumishi wa chini...sio wale wanao pokea mishahara kuanzia milioni 4 mpaka 10 kwa mwezi.
Serikali iwaangalie watumishi wanao lipwa mishahara kuanzia Milioni 2 kushuka chini
Ndio maana sioni sababu ya kudai nyongeza ya mishahara, maana hiyo nyongeza itamezwa na mfumuko wa bei, uko sahihi 100%, wadai serikali iwezeshe uzalishaji mali na huduma wenye tija ili bei za bidhaa na huduma zishuke, kiasi hata hicho kidogo wanacholipwa kitosheHela wanayo omba waongezwe itatokana na ongezeko la kodi kwa wafanya biashara, wakulima na wenye viwanda. Wafanyakazi halitawahusu kwani hata PAYE hayati aliwapunguzia. Kodi iliopo bado inapigiwa kelele kuwa ni kubwa, ongezeko lolote la kodi litaongeza mfumuko wa bei ambao utameza walicho ongezwa kwenye mshahara na wataanza upya kudai kuongezwa mshahara. Ni tabu tupu.
naamini hii sababu umejitungia tu,ila kama ni kweli ndiyo sababu iliyotumika kufanya maamzi yale,na hao waliyoyafanya wanajiita wataalam,basi mimi sitaki kuwa mtaalammmmmmm mnataka muendelee na ukare wenu .Mwanaume anaacha kuandika mnke wa ndoa na watoto wake anaenda muweka hawara yake na watotoi wa hawara yake ambao hata hakuzaa naye.Hili malipinga kwa nguvu zote.ibakie kama ilivyo
Wakipata watumishi tunapata na sisi wafanyabiashara! Tuwaombee wapateVip wale ambao sio watumishi Mama katufanyia Nini???
Uko sawa mkuu,,, kwa hizo michango kadhaa za uliyemjibu unaweza kuelewa kabisa yuko kundi gani kimtazamo/itikadi/ timuYes ni ndogo sana japo binafsi ni bora kuliko aliyekunyima kabisa hata hiyo elf 10