Mwinatanzania
Member
- Aug 9, 2019
- 18
- 19
Nawasalimu ninyi nyote Wana JF.
Mama, haiba yako imejaa uungwana na kuonyesha kuwa una hofu ya Mungu ndani yako, unajiheshimu na KWA kweli unastahili kuheshimiwa.
Mama WEWE ni Muislam KWA dini nami Mkristo KWA dini, lakini mapema na kwamba jichunge Sana na dini yangu ya Kikristo wakati flani ni hatari Sana kwa utumishi wako,rejea watawala toka Dini ya Kiislamu walivyo endeshwa na taasisi hii, wakikuona upo imara na maslahi yao hayafikiwi wako tayari kumuweka Mungu wao pembeni na kukuinulia tuhuma mbaya kama vile ;-Rais anaunga mkono magaidi na Mambo mengine kama hayo.
Na katikati yao kuna baadhi ya viongozi watakusogelea kama Watu wa karibu yako lakini nia yao ni kutaka kupata vizawadi na kuwa recognized, madhala ya Hawa ni kukuletea taarifa za kinajisi.
Mama jilinde Sana na Dini yako ni hatari Sana kwa utawala wako na wao kama ilivyo kwa wa Kristo, watataka upendeleo flani, Mama usikubari.
Ingawa ni hivyo MAMA adui namba moja kwa utumishi wako ni CCM namaanisha Wana CCM wenyewe. Hawa ni wanafiki wala kweli haimo ndani yao, kwa sasa wamekaa kimya si kimya cha nidham na heshima hahaha bali wanapima upepo,wakiona upepo unatoka Kaskazini,Kas/Mash au Kas/Magh utakuwa umewashinda kwa kuwa upepo huo huwa haupotezi bali huzaa (+)I'ma wakao ona upepo unavuma toka Kusini, Kus/Mash au Kus/Magh (-) hapo Mama kuna Kazi kwa upepo huu mara nyingi hauzai mema ila mapooza.
Hata hivyo shuti la mpira wako wa kwanza naliheshimu na limetuduwaza Sana sisi CCM, KWA kuwa Mama kila aliye kutangulia umempa heshima.
Jilinde na Mawaziri waliopo kwani Hawa wamefanana na fisi walio nyuma ya Mtu aliye bebe Kapu la Nyama wakimtisha KWA milio yao Kumi na mbili ili hiyo mbeba Kapu la Nyama aogope na kuteteleka kisha wajijenge kupita WEWE KWA kukuchafua.
Twa totela wamdala.
UMOJA NA MARIDHIANO NI HEKIMA SIYO UJINGA.