jirani mtata
Member
- Oct 7, 2021
- 5
- 6
Mbona Mwendazake alichorwa wala hakulipizaHebu CCM acheni uoga kubalini uwepo wa mawazo mbadala.
Kuna tetesi na minong'ono huko kwenye korido za wachoraji katuni kuwa ifikapo 2025 watashiriki kampeni ya kutoiunga mkono CCM hasa nafasi ya Urais kwa sababu ya madhila makubwa wanayoyapitia chini ya serikali ya awamu ya 6
Baada ya kumkamata msanii Opptitus John Fwema, polisi wameendelea na kamata kamata ya kimya kimya kwani hivi jana usiku wamemkamata mchoraji wa tattoo aitwaye Ronny. Yupo kituo cha polisi Kawe wakimhusisha na kundi linaloikosoa serikali.
Wasanii wachoraji Vibonzo wanaelewa namna wanavyowindwa na wameamua kujipanga kuachana na kuiunga mkono CCM 2025.
Kwa taarifa kutoka kwa wakili ws Opptertus, tayari ameshapata dhamana leo mahakama ya Kinondoni.
Hivyo, badala ya amri za kuwakamata na kuwaminya kimya kimya, itakuwa busara kuharamisha uchoraji wa katuni za kisiasa.
Uzi tayariView attachment 1968090
ππππKama chama kina wanachama na wapiga kura zaidi ya milioni 9 hao wanavibonzo 20 wasipopiga kura CCM kuna hasara gani. Yan watu wavuke mipaka ya kazi zao afu serikali ikiwachukulia hatua wakimbilie kuitishia nyau!!!
Wadanganye lumumba wenzio...mngekuwa na wapiga kura milion 9 mngeiba kura?Kama chama kina wanachama na wapiga kura zaidi ya milioni 9, hao wanavibonzo 20 wasipopiga kura CCM kuna hasara gani? Yan watu wavuke mipaka ya kazi zao, afu serikali ikiwachukulia hatua wakimbilie kuitishia nyau!!!
Huyu mtu hata sitaki tena kuona sura yake, akitokea kwenye tv nabadilisha chanelKuna tetesi na minong'ono huko kwenye korido za wachoraji katuni kuwa ifikapo 2025 watashiriki kampeni ya kutoiunga mkono CCM hasa nafasi ya Urais kwa sababu ya madhila makubwa wanayoyapitia chini ya serikali ya awamu ya 6
Baada ya kumkamata msanii Opptitus John Fwema, polisi wameendelea na kamata kamata ya kimya kimya kwani hivi jana usiku wamemkamata mchoraji wa tattoo aitwaye Ronny. Yupo kituo cha polisi Kawe wakimhusisha na kundi linaloikosoa serikali.
Wasanii wachoraji Vibonzo wanaelewa namna wanavyowindwa na wameamua kujipanga kuachana na kuiunga mkono CCM 2025.
Kwa taarifa kutoka kwa wakili ws Opptertus, tayari ameshapata dhamana leo mahakama ya Kinondoni.
Hivyo, badala ya amri za kuwakamata na kuwaminya kimya kimya, itakuwa busara kuharamisha uchoraji wa katuni za kisiasa.
Uzi tayariView attachment 1968090
Wewe sio wa kwanza kudanganywa kuhusu propaganda za wizi wa kura. Kuna wengine walidanganywa kuhusu ufisadi wa Lowasa lkn Mungu si Athumani akawaumbua waongo hao kupitia huyo huyo waliomzushia uongo kama unavyoona pichani.Wadanganye lumumba wenzio...mngekuwa na wapiga kura milion 9 mngeiba kura?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kuna tetesi na minong'ono huko kwenye korido za wachoraji katuni kuwa ifikapo 2025 watashiriki kampeni ya kutoiunga mkono CCM hasa nafasi ya Urais kwa sababu ya madhila makubwa wanayoyapitia chini ya serikali ya awamu ya 6
Baada ya kumkamata msanii Opptitus John Fwema, polisi wameendelea na kamata kamata ya kimya kimya kwani hivi jana usiku wamemkamata mchoraji wa tattoo aitwaye Ronny. Yupo kituo cha polisi Kawe wakimhusisha na kundi linaloikosoa serikali.
Wasanii wachoraji Vibonzo wanaelewa namna wanavyowindwa na wameamua kujipanga kuachana na kuiunga mkono CCM 2025.
Kwa taarifa kutoka kwa wakili ws Opptertus, tayari ameshapata dhamana leo mahakama ya Kinondoni.
Hivyo, badala ya amri za kuwakamata na kuwaminya kimya kimya, itakuwa busara kuharamisha uchoraji wa katuni za kisiasa.
Uzi tayariView attachment 1968090
Huna akili matagaKuna tetesi na minong'ono huko kwenye korido za wachoraji katuni kuwa ifikapo 2025 watashiriki kampeni ya kutoiunga mkono CCM hasa nafasi ya Urais kwa sababu ya madhila makubwa wanayoyapitia chini ya serikali ya awamu ya 6
Baada ya kumkamata msanii Opptitus John Fwema, polisi wameendelea na kamata kamata ya kimya kimya kwani hivi jana usiku wamemkamata mchoraji wa tattoo aitwaye Ronny. Yupo kituo cha polisi Kawe wakimhusisha na kundi linaloikosoa serikali.
Wasanii wachoraji Vibonzo wanaelewa namna wanavyowindwa na wameamua kujipanga kuachana na kuiunga mkono CCM 2025.
Kwa taarifa kutoka kwa wakili ws Opptertus, tayari ameshapata dhamana leo mahakama ya Kinondoni.
Hivyo, badala ya amri za kuwakamata na kuwaminya kimya kimya, itakuwa busara kuharamisha uchoraji wa katuni za kisiasa.
Uzi tayariView attachment 1968090
Sijui anayefanyiwa hii surgery ni Kabudi!? ππππ
Mimi nimemuelewa kama amafanya sarcasm kwa Rais hivi!? Sidhani kama alimaanisha alichokiandikaHuna akili mataga
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wewe sio wa kwanza kudanganywa kuhusu propaganda za wizi wa kura. Kuna wengine walidanganywa kuhusu ufisadi wa Lowasa lkn Mungu si Athumani akawaumbua waongo hao kupitia huyo huyo waliomzushia uongo kama unavyoona pichani.
View attachment 1968135
View attachment 1968136
View attachment 1968137
View attachment 1968138