Kwanini usitafute hela na ww ukawa tajiri Rais samia akaja kukutembelea ??Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.
Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k
Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.
Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Raisi anatakiwa kuwawezesha raia wake wawe na uwezo wa kulipa kodi sio kuwafanya wabaki wanyonge wakisubiri huruma za viongozi.Maisha si kuajiriwa peke yake.Kama Rais alitakiwa aondoe tozo zinazowanyonya masikini.
Kwani watanzania hawalipi kodi?Raisi anatakiwa kuwawezesha raia wake wawe na uwezo wa kulipa kodi sio kuwafanya wabaki wanyonge wakisubiri huruma za viongozi.
Kajifunzeni kwenye baadhi ya koo uchagani ambao akili zao zimejikita kuwafanya walio chini wawe juu kiuchumi.
Kama wanalipa ipasavyo kwanini bajeti yetu ya maendeleo kila mwaka iendeshwe kwa mikopo na misaada? Hatuna taxbase ya kutosha. Walipa kodi ni wachache. Raia ni masikini na hawana ajira wala vipato vya kutegemewa na nchi kikodi. Tozo tu imewekwa watu wanalia. Tunatakiwa tuwe na raia wasio wanyonge kifedha.Kwani watanzania hawalipi kodi?
Rais wa Matajiri na Machawa!Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.
Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k
Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.
Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Uchumi umekufa , maisha ya wananchi ni duni sana !Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.
Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k
Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.
Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
-Mwendazake alishusha mbaazi hadi sh 200 mama wa Watu kazirudisha mpaka sasa ni zaidi ya 2000, wakulima Wamefaidika wengi kuuza mazao kwa Bei nzuri na wengi tumeshuhudia.Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.
Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k
Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.
Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Hata teuzi ni kwa wale wale waliomo kwenye mzunguko wao!Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.