Rais Samia ni mtu kwelikweli

Ukraine na Urusi watapigana weeee....watauana wee lakini at the end ni maridhiano yatakayowafanya waache vita.

Tulichelewa sana kumpata Mama.

Hayo maneno iwe funzo dunia nzima, hata ngazi ya familia inatakiwa mnawahi kuongea ili mambo yasifike mbali kwa kuwadhalilisha na kuwaaibisha,
 
Naanza kuyazingatia maneno ya mpwa yungu, unaongezewa elfu ishirini huku gharama za maisha zimepanda zaidi ya mara mbili kwa kila kitu na unajisifia hadharani.
 
Naanza kuyazingatia maneno ya mpwa yungu, unaongezewa elfu ishirini huku gharama za maisha zimepanda zaidi ya mara mbili kwa kila kitu na unajisifia hadharani.
Si sawa na kukosa kabisa.....Bora anaekuona kuliko asiyekuona kabisa.Afu kumshupalia mtu na Kaz yake ingali huna Cha kumoffer huo ni Uchawi wa waz Mkuu
 
Si sawa na kukosa kabisa.....Bora anaekuona kuliko asiyekuona kabisa.Afu kumshupalia mtu na Kaz yake ingali huna Cha kumoffer huo ni Uchawi wa waz Mkuu
Mpwa yungu atakuwa alimaanisha wewe,
Hiyo nyongeza inafidia gharama za maisha zilivyo panda au hesabu ni baba mkwe!?
 
That's it my bro....
Ujue mikopo ina umiza sana usipokua makini nayo na inainua sana ukiwa na plan.

Yf ni mwalimu pia. Alipoanza kazi nikampa kama mwaka hiv namu observe tu matumiz na maamuz yake juu ya pesa yake ya mshahara pasipo kumuingilia.

Mwisho wa siku nika concluse huyu kwa hiz pesa hatafika mahala ngoja nimtie akili.

Nikamshawishi akope mkopo na kwakwel huwa ananishukuru ingawa mwanzo ilikua full kununa hajazoea kukatwa katwa 😂
 
Yeah,Kuna watu wanataka Kwa njia ya mkopo....Yaan ni mtu tu na matumizi yake
 
Tunaongelea mtu aliye pandishiwa mshahara 30000, gharama za maisha akapandishiwa mara mia ya alichoongezewa na akasifia kama were, labda waalimu mnamatatizo kwel
Sawa tuna matatizo na tumeridhika nayo coz wanaotudharau hawatusaidii kitu ivo tunawatazama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…