Hapo kwenye faraja umekazia kweli😀😀Mkiniita chawa ni poa tu maana anayenipandisha daraja Kwa Kaz ni yeye.....Kuna mtu atasema kupanda daraja ni haki yako....lakin atajisahau kuwa ndani ya haki hii Kuna bossdume alitubania balaa....
Ni hivi,siku ya wanawake tar 8/3...Jana hiyo....hotuba ya mama kama uliisikiliza vyema....anataka amani...nchi iwe na aman....anakuambia hivi Mbali na Russia & Ukraine kuamua kupigana lakini mwisho wa siku watatengeneza amani Kwa njia ya mazungumzo,maridhiano,amani huja Kwa kukaa na kuzungumza.Aisee,nimependa.
Maana anajua hata tukigombana tutakaoumia ni sisi digidigi.Nakupenda mama
NiceMkiniita chawa ni poa tu maana anayenipandisha daraja Kwa Kaz ni yeye.....Kuna mtu atasema kupanda daraja ni haki yako....lakin atajisahau kuwa ndani ya haki hii Kuna bossdume alitubania balaa....
Ni hivi,siku ya wanawake tar 8/3...Jana hiyo....hotuba ya mama kama uliisikiliza vyema....anataka amani...nchi iwe na aman....anakuambia hivi Mbali na Russia & Ukraine kuamua kupigana lakini mwisho wa siku watatengeneza amani Kwa njia ya mazungumzo,maridhiano,amani huja Kwa kukaa na kuzungumza.Aisee,nimependa.
Maana anajua hata tukigombana tutakaoumia ni sisi digidigi.Nakupenda mama
Ni maisha yetu and non of your business... Kuna watu hawana hata vigezo vya kukopeshekaNa mkipandishwa tu madaraja bss mbiombio kujazana kwenye folen NMB kukopa 😂😂😂 mpwayungu village heb tia neno kidogo
Hongera boss🤣🤣🤣Nilipanda bhana🤒
Ukraine na Urusi watapigana weeee....watauana wee lakini at the end ni maridhiano yatakayowafanya waache vita.Mkiniita chawa ni poa tu maana anayenipandisha daraja Kwa Kaz ni yeye.....Kuna mtu atasema kupanda daraja ni haki yako....lakin atajisahau kuwa ndani ya haki hii Kuna bossdume alitubania balaa....
Ni hivi,siku ya wanawake tar 8/3...Jana hiyo....hotuba ya mama kama uliisikiliza vyema....anataka amani...nchi iwe na aman....anakuambia hivi Mbali na Russia & Ukraine kuamua kupigana lakini mwisho wa siku watatengeneza amani Kwa njia ya mazungumzo,maridhiano,amani huja Kwa kukaa na kuzungumza.Aisee,nimependa.
Maana anajua hata tukigombana tutakaoumia ni sisi digidigi.Nakupenda mama
Kawaida mkuu, hakuna boss anaemwajiri mtu Ili amzidi... Kila mtu hula Kwa sehemu yakeMwanasiasa hata akiwa mama yako mzazi sio mtu wa kumuamini, hubadilika kwa sekunde tu.
Kila analofanya ukahisi ni kwa maslahi yako basi elewa linamnufaisha yeye zaidi.
Kwani kuna Ubaya gani kama anafanya yale ambayo Mbowe Mwenyewe anayalilia kila siku?Hotuba moja watu washaanza kubadilika hadi inafika 2025 na Mbowe atamuombea kura Samia