Hivi TUGHE hamzioni barua za vitisho toka kwa waajiri kuwalazimisha watumishi na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea wa CCM?
Barua za waajiri zinawataka watumishi kuhudhuria mikutano hiyo na mahudhurio kuchukuliwa uwanjani. Hii ni kinyume na utaratibu.
TUGHE kama shirikisho huru mnapaswa kutoa kauli ya kukemea vitisho hivi. Samia ni mgombea kama Salumu Mwalimu wa CHAUMMA.
Barua zinaeeleza wasio hudhuria wajiandae kupokea bahasha kaki.