Rais Samia ni mbadhirifu.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,012
Reaction score
6,762
Hafai kuwa Rais.
Kila mahali utasikia " hatuna deni na mama"
Rais Samia anatumia hela kama vile hakuna kesho.
Inanikumbusha Chancellor of the Exchequer,waziri wa fedha wa Uingereza,alisoma spichi ya Bajeti siku moja,wabunge wengi wakampongeza, Bajeti ilikuwa nzuri sana.
Wabunge wengi wakamuuliza kama hiyo ndiyo ilikuwa Bajeti yake ya mwisho.
Kwa hiyo Rais huyu lazima awe na mipango endelevu na aache ubadhirifu.
 
Kuna mtoto wa mchonga anayeitwa Poppy Hatonn? Name calling ni kosa kwa maadili ya jukwaa hili.
Kwani Mchonga ana watoto wangapi? Na mbona sijataja jina hapa mie? Au wee umeona kuna jina nimetaja hapo? Acha kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…