The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Hakuna ambae hamuelewi ni Sukuma gang na Chadomo ndio wanajifariji kwa uzushi wakati wanateseka..Watu hawamuelewi kwasababu ya Upeo mdogo tu ila tunaoona mambo kwa upana huyu Mama anaupiga mwingi mnooo.
Wewe akili zako Bora hata za mbuzi ..Anakuteua lini kwa huu Uchawa wako wa Kutukuka uliotuonyesha hapa? Miswahili bhana ikishiba Viporo hukosa Akili mno.
uwekezajia au kuiuza nchi ya tanganyika kwa mabeberu wa kiarabu?
tunauzwa
Good point huyo kapewa bahasha
Ameenda kutoa taarifa kwa waarabu wamasai anavyowafukuza waarabu waanze kusomba wanyama vizuri
Aache kujiombea yeye mimi nimuombee?Sadist muombe mwenzako afanikiwe kwenye maisha itapunguza chuki
Kajifunze kuandika mkuu maana hata sikuelewiUsifananishe kila mtu na demu wake anayekutangaza wewe ni wa tako tatu.
tumeuzwa
Kajifunze kuandika mkuu maana hata sikuelewi
Jifunze kwanza kuandikaNyie ndiyo mko Masikani mnadanganyana kuhusu marvel movies na kutroll watu kwenye mitandao muda gani unapata kufanya kazi au nyie ndiyo wale Tuma kwenye namba hii.
Unaishi dunia gani wewe?uwekezajia au kuiuza nchi ya tanganyika kwa mabeberu wa kiarabu?
Kazi kubwa sana kwenye uwekezaji nchi ni tanzania tunaiyona kwakoNimeuona utofauti wa Rais Samia kwenye suala la Uwekezaji hana mchezo nalo kabisa.
Hapa Oman amekuja na documentary kabisa yenye full presentation ya maeneo ya kuwekeza ana Profile kabisa ya Tanzania.
Kwa Muwekezaji anachagua eneo ambalo linamvutia anakwenda kuwekeza na mambo yanafanyika.
Hana siasa nyingi ni matokeo tu na hivi ndivyo Dunia inavyokwenda.
Endeleza tu hizo story hapo hapo kwenye kijiwe chenu cha kahawa,maisha bora yatakukuta hapo hapo,ila tambua kua watu wenye mawazo ya kijima kama yako ni watu ambao wameshajikatia tamaa,Ameenda kutoa taarifa kwa waarabu wamasai anavyowafukuza waarabu waanze kusomba wanyama vizuri
Basi maisha yangu ni mazuri sn kama unakiri kuwa naweza kumudu kununua hivyo vitu hakuna nenoEndeleza tu hizo story hapo hapo kwenye kijiwe chenu cha kahawa,maisha bora yatakukuta hapo hapo,ila tambua kua watu wenye mawazo ya kijima kama yako ni watu ambao wameshajikatia tamaa,
Wenye macho watakamatia hizo fursa wewe endelea tu kugonga Kahawa na kashata za karanga hapo kijiweni.
Kwa level ya thinking capacity yako upo sahihi.Basi maisha yangu ni mazuri sn kama unakiri kuwa naweza kumudu kununua hivyo vitu hakuna neno
Ya mumeo ikoje mkuu?Kwa level ya thinking capacity yako upo sahihi.
Unaweza kukuta mtu kama wewe hata kuiongoza familia yako tu ya mke mmoja na mtoto mmoja imekushinda.Tanzania inahitaji Rais na sio CEO wa kampuni.
Si vibaya akafungua kampuni yake sasa ili sisi tutafute Rais wa kutuongoza.