Rais Samia ni Corporate Leader

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,059
Reaction score
1,133
Nimeuona utofauti wa Rais Samia kwenye suala la Uwekezaji hana mchezo nalo kabisa.

Hapa Oman amekuja na documentary kabisa yenye full presentation ya maeneo ya kuwekeza ana Profile kabisa ya Tanzania.

Kwa Muwekezaji anachagua eneo ambalo linamvutia anakwenda kuwekeza na mambo yanafanyika.

Hana siasa nyingi ni matokeo tu na hivi ndivyo Dunia inavyokwenda.
 
uwekezajia au kuiuza nchi ya tanganyika kwa mabeberu wa kiarabu?
 
Rais atabadili mtizamo wa vijana kulalamika na kulaumu serikali..

Anataka watu wajiamini kujiajiri na atawawekea mazingira rafiki..

Na binafsi namkubali kabisa kwenye mambo ya biashara,ndio njia pekee ya kuwahakikishia vijana maisha yao sio kuwa machinga sijui wanyonge and such nonsense..
 
Watakuita chawa wale watanzania wenye hamu ya kuiona nchi yao wenyewe haifanikiwi. Kuna tabaka fulani la wapuuzi sana humu mitandaoni.
 

Attachments

  • Screenshot_20220512-130134.png
    87.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220613-151123.png
    145.4 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220613-151050.png
    113.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220613-113438.png
    90.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220613-143249.png
    179.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220612-163931.png
    126.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220612-164000.png
    134.5 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220612-163951.png
    131.6 KB · Views: 11
Anakuteua lini kwa huu Uchawa wako wa Kutukuka uliotuonyesha hapa? Miswahili bhana ikishiba tu Viporo hukosa Akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…