Chawa tu huyo njaa inamsumbuaHueleweki
Heading nzito ila content iko very light.
Demokrasia imekuwa ni maafa makubwa kwa nchi nyingi za Afrika mfano majirani zetu Kenya uchumi unaanguka kwa mgogoro usiyoisha wa vyama vya siasa pamoja na wao kudai kuwa na katiba nzuri. Tumeona Sudan na Somalia baada ya wananchi kushangilia kuondolewa kwa utawala wa kidekteta leo mamilioni wanakufa kwa vita wenyewe kwa wenyewe.1--Rwanda sio Tanzania, kinachofaa Rwanda sio lazima kifae Tz.
2-- Umoja na mahusiano ya watu huwa halalazimishwi bali huja na hukuwa yenyewe involuntarily, huwezi kulazimisha Muungano iwapo wahusika (raia) hawataki Muungano vinginevyo huo utakuwa ni Muungano hewa kwa misingi ya kisiasa na sio kwa misingi ya kijamii na Muungano wa aina hiyo hautakuwa na muda.
Hapa unalinganisha tembo na chawa mwanangu. Gorbachev alikosea tu lakini alikuwa kichwa.Heading nzuri ila content ni utopolo
Saa 100 atukuwa Gorbachev kwa kuuza rasilimali za Tanganyika, na si vinginevyo
una zungumziaje suala la bandari ?Rais mstafu wa Urusi alipoingia madarakani mwaka 1985 aliingia na sera za Perestroika na Glasnost na hii uhuru wa kuvuka mpaka na kusababisha kuvunjika kwa muungano wa taifa la USSR.
Hapa Tanzania Rais Samia toka ameingia madarakani amejitahidi sana kuweka uhuru wa wanasiasa haswa wa vyama vya upinzani kufanya siasa bila kubudhiwa lakini sasa inaonekana uhuru huo unatishia usalama na umoja wa taifa la Tanzania. Hivi majuzi tumeona mikutano ya Chadema lugha za kejeli na matusi dhidi ya vyombo vyetu vya usalama vikichukua sehemu kubwa ya mikutano hiyo badala ya kuwaambia wananchi watawafanyia nini pindi wakiingia madarakani. Tumesikia Mwenyekiti wa Chadema akitoa lugha za kibaguzi waziwazi katika sakata la bandari.
Tusikubali kuwaridhisha hawa wafadhili wetu kwa kuonyesha kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia wakati umoja wetu upo hatarini ni wakati muhimu kwa serikali ya Tanzania kufata njia ya utawala wa Rais Kagame katika kulinda usalama na umoja wetu.
Nimemkumbuka sana Hayati Rais Magufuli pamoja na mapungufu yake kama binadamu lakini style ya leadership yake ndio inatakiwa Tanzania
isomeke imechukuliwa kwa miaka mingapi?Kwani hiyo bandari imekodishwa kwa miaka mingapi?