Rais Samia kuingia Kigamboni wiki ijayo ya Tarehe 3 na kuzungumza na taifa. Asubiriwa kwa hamu na kiu kubwa sana

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,349
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajia kuingia Ndani ya Kigamboni Wiki Ijayo ya Tarehe 3.

Ambapo maandalizi kabambe na ya kutosha yanaendelea kufanywa na wana kigamboni kuweza kumpokea na kumlaki Shujaa wetu wa Taifa na Afrika nzima kwa ujumla wake.

Nawakumbusheni ya kuwa Rais Samia ni Shujaa na kinara wa matumizi ya nishati safi ya kupikia Barani Afrika. Lakini pia ndiye Bingwa na Shujaa wa Mapambano ya kutokomeza vifo vya Mama na Mtoto Barani Afrika.

Kaeni mkao wa kula maana ni kupitia Safari hiyo ya kigamboni atazungumza masuala mbalimbali yenye Kugusa Maisha ya watanzania na kutoa muelekeo na Dira kwa Taifa letu katika masuala mbalimbali Mtambuka.msipange kukosa wala kuchelewa kufuatilia kitakachojili Tarehe hiyo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Tangu juzi uwanja wa mnadani hautumiki, jana ilikuwa siku ya mnada wafanyabiashara wamezuiwa kufanya biashara kwa sababu hiyo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajia kuingia Ndani ya Kigamboni Wiki Ijayo ya Tarehe 3.

Ambapo maandalizi kabambe na ya kutosha yanaendelea kufanywa na wana kigamboni kuweza kumpokea na kumlaki Shujaa wetu wa Taifa na Afrika nzima kwa ujumla wake.

Nawakumbusheni ya kuwa Rais Samia ni Shujaa na kinara wa matumizi ya nishati safi ya kupikia Barani Afrika. Lakini pia ndiye Bingwa na Shujaa wa Mapambano ya kutokomeza vifo vya Mama na Mtoto Barani Afrika.

Kaeni mkao wa kula maana ni kupitia Safari hiyo ya kigamboni atazungumza masuala mbalimbali yenye Kugusa Maisha ya watanzania na kutoa muelekeo na Dira wa Taifa letu katika masuala mbalimbali Mtambuka.msipange kukosa wala kuchelewa kufuatilia kitakachojili Tarehe hiyo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3549515
View attachment 3549515
Awatangazie na idadi ya alaowaua na wangapi kawabakisha.
 
Back
Top Bottom