Rais Samia, kaimu DSO Kiteto anakuharibia Chukua hatua mapema!

Tatizo awamu ya 5 iliweka mamluki wengi sana kwenye hiyo taasisi ili kutimiza malengo ya bwana yule mwenda zake na hao ndio wanao leta shida kubwa.
Kiufupi taasisi ilivamiwa na mamluki. Hatukuwahi kushuhudia vituko nchi hii kutoka idara ya usalama wa Taifa kamaa serikali ya awamu ya 5.
 
Uhalifu si polisi mzee.usalama na uhalifu wapi na wapi. ? Others hao usalama hawajui majukumu yao.
 
Kiufupi taasisi ilivamiwa na mamluki. Hatukuwahi kushuhudia vituko nchi hii kutoka idara ya usalama wa Taifa kamaa serikali ya awamu ya 5.
Na hao ndio chanzo cha matatizo makubwa kwenye idara nyeti ile
 
Tatizo awamu ya 5 iliweka mamluki wengi sana kwenye hiyo taasisi ili kutimiza malengo ya bwana yule mwenda zake na hao ndio wanao leta shida kubwa.
Sasa kwa akili yako DSO alitakiwa wa kada gani? Kilimo au Afya
 
Taarifa ina udhaifu mkubwa!
1. Una uhakika gani kama ni kaimu DSO!?
2. DSO mwenyewe yupo wapi?
3. Jina lake ni nani?
4. Watumishi walioitwa ofisini kwa DSO ni kina nani?
5. Wamefanyanini hadi waitwe kwani sio utaratobu uliozoeleka DSO kumuita mtu ofisini kwake!
6. Amewatishia kuwapiga! Kuwapigaje?
7. Maswali ni mengi kuifanya taarifa iwe na ukweli angalau

Bazazi ni Bazazi na si bazazi
 
Hueleweki umeandika nini.
Weka facts zionekane, DSO anakunyanyasaje? We ni mtumishi wa kada gani mpaka ukutane na DSO? Hueleweki mkuu
 
Uhalifu si polisi mzee.usalama na uhalifu wapi na wapi. ? Others hao usalama hawajui majukumu yao.
wewe endelea kumtwisha mwendazake lawama hata za kukosa kwako chakula.
haya mengine yaache tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…