Babake mwanaidi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 641
- 695
Ni Afisa usalama wa WilayaDSO ni nani katika utawala wilayani? Afisa usalama? Utumishi? au afisa tawala? Kama ni afisa usalama unakutana naye vipi hadi akutishie?
Afisa usalama wilaya....tusubiri upande wa pili nayoDSO ni nani katika utawala wilayani? Afisa usalama? Utumishi? au afisa tawala? Kama ni afisa usalama unakutana naye vipi hadi akutishie?
Kiteto hakunaga serikali Hadi wakati wa uchaguzi mkuu .Mh.Rais najua nimechukua hatua kubwa sana kukushtakia huyu bwanamdogo .anaekaimu Ofisi ya DSO Kiteto .anawaita watumishi Ofisini kwake na kuwatishia kuwapiga, vitisho visivyo na msingi.
Amewazuia watumishi kutoka Arusha na longido waliokuja kwenye mafunzo bila sababu za msingi. Hatuelewi hatma yetu kama watumishi kwa kifupi tunanyanyasika sana na ni kama Mkuu wa wilaya anamkingia kifua.
Mh rais najuwa nimeruka stage lakini tunakuomba utuondolee hii balaa/laana kwenye wilaya yetu.
Yani watanzania wanapenda deko sana,,, yani si mkubwa si mdogo ni kudeka tuuu yani na deko ndio chanzo cha masjungu na uchonganishi. Unaweza kuta wamepishana lugha tuuu hivi afisa usalama na mtumishi wa kawaida wanaweza kuwa wamepishana wapi?Hivi Bongo hapa hamnaga watu wanaoweza kuzichapa jamani?
Wanawake tunalia wanaume wanajiliza.... inatakiwa mtu wa mfano, ngumi moja meno manne chini, haya mambo ya kushtaki shtaki kila kitu mmh
Inatakiwa tu wakitofautiana sometimes zinachapwa kiume mambo yanaishaYani watanzania wanapenda deko sana,,, yani si mkubwa si mdogo ni kudeka tuuu yani na deko ndio chanzo cha masjungu na uchonganishi ...... unweza kuta wamepishana lugha tuuu hivi afisa usalama na mtumishi wa kawaida wanaweza kuwa wamepishana wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Tulieni mnyooshwe maanina, watanzania mmekua mayai mayai sana.
Umeongea point sana.heshima inawekwa mezani.mambo yanaisha.Inatakiwa tu wakitofautiana sometimes zinachapwa kiume mambo yanaisha
Inatakiwa tu wakitofautiana sometimes zinachapwa kiume mambo yanaisha
Acha kabisa huko mawilayani watendaji wa vijiji wanaweka watu ndani itakua huyo afisa usalama na wanavojionaga wao untouchables!DSO ni nani katika utawala wilayani? Afisa usalama? Utumishi? au afisa tawala? Kama ni afisa usalama unakutana naye vipi hadi akutishie?
Tatizo awamu ya 5 iliweka mamluki wengi sana kwenye hiyo taasisi ili kutimiza malengo ya bwana yule mwenda zake na hao ndio wanao leta shida kubwa.Acha kabisa huko mawilayani watendaji wa vijiji wanaweka watu ndani itakua huyo afisa usalama na wanavojionaga wao untouchables!