MzunguMweusiTii
Member
- Jul 20, 2016
- 31
- 27
Nawatakia Waislamu wote Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Katika mwezi huu wa ibada na toba tuendelee kuiombea nchi yetu amani, upendo, mshikamano, utulivu na haki; nguzo zenye kuleta ustawi zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu. Ramadhan Kareem. - Dkt Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app