Umeme shida, maji shida, ajira shida, umachinga shida, mfumuko wa bei shida,kiongozi mkuu wa upinzani 'kaidi'... hapa nchi ipo kwenye halingumu tusidanganyane!!
Inafaa safari zote zisitishwe hata VP naye arudi haraka serikali ikae kutafakari tunavukaje hiki kilima na korongo linalofuata tusije singizia kudra za Mola ama kuita wananchi makaidi!!
Serikali itupe mipango thabiti kuna hatari ya mvua chache na njaa nyingi tusifumbe tuu macho kujidai hatuoni