johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Rais wa JMT mh Dr Samia ametoa Tsh 5 milioni kumuenzi Chifu Mkwawa wa Wahehe huko Kalenga Mkoani Iringa
Mchango huo ulikabidhiwa kwa Chifu Adam II Mkwawa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Yasin Daud aliyeongozana na RC Halima Dendegu
Source Mwananchi
Swela!
Mchango huo ulikabidhiwa kwa Chifu Adam II Mkwawa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Yasin Daud aliyeongozana na RC Halima Dendegu
Source Mwananchi
Swela!