PreGE2025 Rais Samia atoa bajaj mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Bajaji mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, Wilaya ya Iringa lengo ni kuunga Mkono Juhudi za Wanawake wa Kiislamu Wilayani humo ikiwa ni sehemu ya utaratibu wake kuwasaidia wenye Uhitaji katika Jamii.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akikabidhi msaada huo Leo Machi 18, 2025 Ofisini kwake Kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James amesema Juhudi hizo za Serikali zitasaidia Wanawake hao kujitengenezea kipato Chao binafsi na Taasisi Kwa Ujumla.

View attachment 3275670
Cheap hongo hongo hongooo hongooo mpfyuuuuu
 
ikiwa ni sehemu ya utaratibu wake kuwasaidia "wenye Uhitaji" katika Jamii
Okay
 
Back
Top Bottom