Ndio inavyotakiwaMara baada ya kuingia madarakani ili kuonyesha anaupiga mwingi Mama Samia alisema yeye hatakuwa mtu wa maneno Makali bali matendo makali.
Kwa ambao tumefuatilia interview za mama za karibuni tukianza na ile ya Kikeke na hizi hotuba zake mbili tatu za karibuni ni kwamba mama ameshaanza dharau kwa waandishi, watumishi na viongozi wenzake kwenye vyombo mbalimbali.
Ifikapo mwakani Mama atakuwa ni mtu wa maneno Makali na matendo makali. Ameshaionya na kamati ya Rwekaza Mkandala kuwa kabla ya kufanya chochote wamuulize mwenye shamba akimaanisha mwenye nchi.
Nchi sasa ni ya Rais na sio ya Wananchi. Muda utamtetea sana hayati wallah
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Bado sana...ndio kwanza mwaka wake..Mara baada ya kuingia madarakani ili kuonyesha anaupiga mwingi Mama Samia alisema yeye hatakuwa mtu wa maneno Makali bali matendo makali.
Kwa ambao tumefuatilia interview za mama za karibuni tukianza na ile ya Kikeke na hizi hotuba zake mbili tatu za karibuni ni kwamba mama ameshaanza dharau kwa waandishi, watumishi na viongozi wenzake kwenye vyombo mbalimbali.
Ifikapo mwakani Mama atakuwa ni mtu wa maneno Makali na matendo makali. Ameshaionya na kamati ya Rwekaza Mkandala kuwa kabla ya kufanya chochote wamuulize mwenye shamba akimaanisha mwenye nchi.
Nchi sasa ni ya Rais na sio ya Wananchi. Muda utamtetea sana hayati wallah
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Wewe sio msemaji wa WatanzaniaWatanzania ukiwapeleka kidiplomasia sana wanakupanda kichwani, Watanzania tunapenda maneno maneno, majungu na wavivu wa kujituma.
Na yule aliyekua hataki diplomasia,anapenda ubabe yuko wapi??Watanzania ukiwapeleka kidiplomasia sana wanakupanda kichwani, Watanzania tunapenda maneno maneno, majungu na wavivu wa kujituma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaandika Matope mpaka Jamaa kakuchekaSamia anwaambia Ukweli tu sema nyie vichwa maji hamumuelewi tu ,nchi haiend mtakavyo inaenda kwa miongozo na sheria zake
USSR