Rais Samia ameniblock huko X

Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+πŸ˜€
 
You nailed it.
 
Anataka watu wa kumsifia tu.ukiwa kiongozi wapende sana wanaokukosoa maana watakufanya usahihishe pale unapokosea kuliko kupewa sifa za uongo kama wanavyofanya chawa wake
TAngu lini mwanamke anapenda wanaomkosoa ?
 
Mitano kwa Rais wetu Bantu Lady! πŸ”₯ Uhakikishe unanipitisha kuwa Makamu wako ili Tanganyika iwe huru kwa πŸ’―% . Haya mambo ya kuungana na Wazanzibari wavivu, wabinafsi, wapenda mteremko, wapenda urojo, wapenda taarabu na vichambo; yanatuchelewesha sana kama Taifa.
 
Aisee!!!! Ila kampeni
 
Anaamini ataweza kudhibiti nguvu ya mitandao eti huyu KijamkaziπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duuuh aisee
Nafikiri huko hao admins wa hiyo account huwa wanaangalia users wanao interract sana na account za upinzani na kuzi block. Hata mimi nimekuwa blocked na hiyo account ni watu wengi wamekula tofali.
 
Pole kwa kupigwa block na nakupongeza kwa kupiga spana.
 
Uliyo yaandika hapa ndo rais tunayemtaka,

Tunataka rais ambaye yupo karibu na wananchi wake siyo rais ambaye yuko karibu na mafisadi tu

Rais badala atetee wananchi wake yeye anatetea mafisadi

Kura yangu umeshaipata ngoja tusubiri na ya mgerasi MIN-me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…