Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,725
- 13,723
Wakuu,
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Mwanzo katika awamu zingine wachimbaji wadogo hawakuwa wananufaika sana na sekta hii kutokana na bei ya madini na sheria kuwabana
Imagine gram 1 ilinunuliwa kwa Tsh laki1 lakini sasa hivi gramu hiyohiyo ya dhahabu inanunuliwa kwa laki mbili.
upatikanaji wa masoko ni wa uhakika na wizi umepungua.
kuna jamaa yangu ni mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu,amechimba tangu 2008 hakufanikiwa kupata kitu,lakini mwaka 2022 baada ya rais samia kuingia madarakani alifanikiwa kupata grams 500 za dhahabu na amekuwa tajiri mpaka sasa.
rais samia ameleta mabadiliko chanya katika sekta hii,tumpe mitano mingine aendeleze na aendelee kuibua utajiri kwa wachimbaji wadogowadogo kama jamaa yangu.
MUNGU ampe maisha marefu rais wetu kipenzi cha watanzania
LOVELY EMMY kwa sasa BUJUMBURA BURUNDI.