Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Amekondeana mbayaaa...kwani shida ni nini ..???Amiri jeshi mkuu❤️
Anafanya balance dietAmekondeana mbayaaa...kwani shida ni nini ..???
SwaumuAmekondeana mbayaaa...kwani shida ni nini ..???
umeona mkono ulivyoyumba?Ila mwanamke ni mwanamke tu!
Hadi chawa Leo umeamua kutoa mlio "Kiaina"?Speculative analysis yangu Sasa ndio hatari :-
1.America na co plus ICC hawatufanyi kitu,tumejipanga sisi sio kina Maduro!wajichanganye waone!!kwanza tuna makomando wenye kupasua matofali Kwa vichwa!!
2.Mimi mwenyewe najua kutumia bastola atakejichanganya nammwaga ubongo miye!!
3.Tanzania no nchi huru hatupangiwi na mtu yeyote!
Halafu anamalizia Kwa kishindo
"KAZI na utu,tunasonga mbele na Bastola mikononi"!!
NB
Maonyesho haha yangekua na tija kama ingepigwa demo Moja mpakani kama enzi za mkapa,kipindi Cha mzozo wa malawi!!
Madege ya kivita yangerindima kama mbayu wayu!!
Kwakweli wanaomshauri Rais wetu ni jau sana!!
Unafikiri mi ni.chawa!!?Hadi chawa Leo umeamua kutoa mlio "Kiaina"?
Kweli nchi inarudi kwenye default mode soon.
Ila tatizo mnapokosea nyie chawa mnaong:ata na kupuliza ni hapo mnaposemaga "wanaomshauri Rais...." Why mnaogopa kusema Rais ni mediocre. Hakustahili kuongoza hii nchi kwa sababu ni taasisi iliyomzidi uwezo?
Huu ukweli mtakuja kuusema lini?
Si kweli.....wiki haijaisha toka mfungo uanze kusema mfungo umechachamaa kufikia mtu akonde na kufubaa kiasi hicho...Swaumu
ICC inamuwazisha sana..Si kweli.....wiki haijaisha toka mfungo uanze kusema mfungo umechachamaa kufikia mtu akonde na kufubaa kiasi hicho...
Yaani very weaknessumeona mkono ulivyoyumba?
Acha ubishi dada!Si kweli.....wiki haijaisha toka mfungo uanze kusema mfungo umechachamaa kufikia mtu akonde na kufubaa kiasi hicho...